Kenya bado walimu wetu wataenda Sauzi Afrika, kwa hivyo hatujanyang'anywa fursa. Ramaphosa amewaonea huruma akaamua kuwapa fursa kidogo hata hivyo KE itapewa asilimia kubwa ya fursa kushinda TZ.
Ninawashauri wakenya waungane na kufanya kazi na Magufuli badala ya kushindana naye.
nawachukia sana nyangauYaaani Wakenywa Magufuli kawashika pabaya
Hiyo ni sheng wala sio lugha ya kiswahili. Sisi Wakenya tumejifunza lugha aina nyingi ikiwemo lugha ya mama, sheng, kiswahili na Kiingereza.Ati unasemaje Buda si unajuanga vile sie ufanya!
Tutakuwa upper middle incomeSafari hii lazima mkae,
Tutaona huo uchumi wenu miaka 10 ijayo mtakuwa wapi, Tuombe uzima humu,
Kiswahili cha padlocks ni kibovu zaidi.Ujenzi wa "manyumba"! 🤣 🙂
Siwezi dharau sheng maana hata si tz tunazo zetu,, kila lugha ina sheng zake AnkoI thought you despise sheng and now you are using it
Hahahahaha, Hahahahaha, ninafurahi kwa jinsi mnavyojipa matumaini. Waswahili husema "Mwisho wa ubaya ni aibu". Mnakumbuka jinsi mlivyowatosa kipindi wanachinjwa na makaburu weupe, ninyi mkaungana na wazungu kuwakandamiza?Kenya bado walimu wetu wataenda Sauzi Afrika, kwa hivyo hatujanyang'anywa fursa. Ramaphosa amewaonea huruma akaamua kuwapa fursa kidogo hata hivyo KE itapewa asilimia kubwa ya fursa kushinda TZ.
kumbe hakwenda msibani alikuwa na ajenda nyingine?
Ninawashauri wakenya waungane na kufanya kazi na Magufuli badala ya kushindana naye.
Bomba ambalo halijaanza kujengwa? Kama UG wangetuchagua bomba lingekuwa limekamilika.
Hivi Yale MAGARI na wale punda mliosema wataanza kubeba Yale mafuta toka Lokachiar hadi Mombasa wameshaanza, au lile BOMBA mlilosema mtajenga baada ya Magufuli kuwapiga bao, tayari mlishakamilisha, Hahahahaha.kumbe hakwenda msibani alikuwa na ajenda nyingine?
anyways.
by the way.... hivi lile bomba la mafuta kutoka Uganda limeshaanza kuleta manufaa yaliyopigiwa chapuo as if Tanzania ndiyo mmiliki wa mafuta? kama bado ni lini? au ndiyo tusubiri hadi 2050 huko?
Aaa wapii!Kiswahili cha padlocks ni kibovu zaidi.
Utafundishaje Kiswahili wakati hicho Kiswahili hukijui?Utafunzaje foreign language kama basic language ya watu husika(English) hukijuui?
Hahahahaha, Tanzania is a socialist country, tutalipisha pesa kidogo ili kulipisha gharama za kuendesha, repair and replacement ya vifaa chakavu to maintain project working, sio kurudisha gharama za ujenzi na kupata faida kubwa, kumbuka lengo la Serikali makini inayojali watu ni kutoa huduma za kijamii, na kuweka mazingira mazuri ya biashara, sio kutengeneza faida.wah.,,this dude is dumb asf.,,you think coz mnajenga na pesa yenu haitalipishwa fare,?.,,every government investment is based on profitability among other issues.,,
Hahahahaha, kama ambavyo mnajiandaa kutuiga katika kujenga BRT. Mumesikia tumekarabati reli zetu za MGR, na ninyi mumeenda China kuwaomba pesa za kukarabati MGR kutoka Naivasha hadi Malaba, ,, "Trust me your government will never deliver BRT...tulijenga yetu then you thought of outshining Kenya by building an electric one.,,trust me your government will not deliver an electric sgr.,,poor planning
Nani kasemaKenya bado walimu wetu wataenda Sauzi Afrika, kwa hivyo hatujanyang'anywa fursa. Ramaphosa amewaonea huruma akaamua kuwapa fursa kidogo hata hivyo KE itapewa asilimia kubwa ya fursa kushinda TZ.