Magufuli ainyang'anya tena Kenya fursa, kama alivyofanya katika bomba la Uganda.

Magufuli ainyang'anya tena Kenya fursa, kama alivyofanya katika bomba la Uganda.

Ninawashauri wakenya waungane na kufanya kazi na Magufuli badala ya kushindana naye.

Kenya bado walimu wetu wataenda Sauzi Afrika, kwa hivyo hatujanyang'anywa fursa. Ramaphosa amewaonea huruma akaamua kuwapa fursa kidogo hata hivyo KE itapewa asilimia kubwa ya fursa kushinda TZ.
 
Ati unasemaje Buda si unajuanga vile sie ufanya!
Hiyo ni sheng wala sio lugha ya kiswahili. Sisi Wakenya tumejifunza lugha aina nyingi ikiwemo lugha ya mama, sheng, kiswahili na Kiingereza.
 
Utafunzaje foreign language kama basic language ya watu husika(English) hukijuui?
 
Kenya bado walimu wetu wataenda Sauzi Afrika, kwa hivyo hatujanyang'anywa fursa. Ramaphosa amewaonea huruma akaamua kuwapa fursa kidogo hata hivyo KE itapewa asilimia kubwa ya fursa kushinda TZ.
Hahahahaha, Hahahahaha, ninafurahi kwa jinsi mnavyojipa matumaini. Waswahili husema "Mwisho wa ubaya ni aibu". Mnakumbuka jinsi mlivyowatosa kipindi wanachinjwa na makaburu weupe, ninyi mkaungana na wazungu kuwakandamiza?
 
Ninawashauri wakenya waungane na kufanya kazi na Magufuli badala ya kushindana naye.

kumbe hakwenda msibani alikuwa na ajenda nyingine?

anyways.

by the way.... hivi lile bomba la mafuta kutoka Uganda limeshaanza kuleta manufaa yaliyopigiwa chapuo as if Tanzania ndiyo mmiliki wa mafuta? kama bado ni lini? au ndiyo tusubiri hadi 2050 huko?
 
Hahhaaha huu mchezo hautaki hasira
IMG_20190527_073620.jpeg
IMG_20190527_074214.jpeg
IMG_20190527_074608.jpeg
 
kumbe hakwenda msibani alikuwa na ajenda nyingine?

anyways.

by the way.... hivi lile bomba la mafuta kutoka Uganda limeshaanza kuleta manufaa yaliyopigiwa chapuo as if Tanzania ndiyo mmiliki wa mafuta? kama bado ni lini? au ndiyo tusubiri hadi 2050 huko?
Hivi Yale MAGARI na wale punda mliosema wataanza kubeba Yale mafuta toka Lokachiar hadi Mombasa wameshaanza, au lile BOMBA mlilosema mtajenga baada ya Magufuli kuwapiga bao, tayari mlishakamilisha, Hahahahaha.
 
wah.,,this dude is dumb asf.,,you think coz mnajenga na pesa yenu haitalipishwa fare,?.,,every government investment is based on profitability among other issues.,,
Hahahahaha, Tanzania is a socialist country, tutalipisha pesa kidogo ili kulipisha gharama za kuendesha, repair and replacement ya vifaa chakavu to maintain project working, sio kurudisha gharama za ujenzi na kupata faida kubwa, kumbuka lengo la Serikali makini inayojali watu ni kutoa huduma za kijamii, na kuweka mazingira mazuri ya biashara, sio kutengeneza faida.
 
tulijenga yetu then you thought of outshining Kenya by building an electric one.,,trust me your government will not deliver an electric sgr.,,poor planning
Hahahahaha, kama ambavyo mnajiandaa kutuiga katika kujenga BRT. Mumesikia tumekarabati reli zetu za MGR, na ninyi mumeenda China kuwaomba pesa za kukarabati MGR kutoka Naivasha hadi Malaba, ,, "Trust me your government will never deliver BRT...
 
Sina bando la kuplay video, ameongea lugha gan hapo?
 
Kenya bado walimu wetu wataenda Sauzi Afrika, kwa hivyo hatujanyang'anywa fursa. Ramaphosa amewaonea huruma akaamua kuwapa fursa kidogo hata hivyo KE itapewa asilimia kubwa ya fursa kushinda TZ.
Nani kasema
 
Back
Top Bottom