Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais

Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.

Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.

Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.

Hali itakuwa tete sana!

kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.

Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
 
Ni lini mara ya mwisho uliwahi kusema ukweli katika maisha yako? Sasa hivi hauishi Tanzania halafu unasema utahama nchi, kwa nini unakuwa muongo kama mtoto? Angalau mtoto anaweza kujitetea kwamba bado anakuwa na anajifunza wewe una utetetzi gani wa kuwa kama mtoto? Hakuna sababu ya kudanganya wakati mwingine.
 
Ni lini mara ya mwisho uliwahi kusema ukweli katika maisha yako? Sasa hivi hauishi Tanzania halafu unasema utahama nchi, kwa nini unakuwa muongo kama mtoto? angalau mtoto anaweza kujitetea kwamba bado anakuwa na anajifunza wewe una utetetzi gani wa kuwa kama mtoto? Hakuna sababu ya kudanganya wakati mwingine.
Toka umezaliwa umeshawahi kuona au kusikia kiongozi wa CCM ametekwa wala kukamatwa na Polisi?
 
Hahahaha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na utahama mwaka huu.
 
Back
Top Bottom