Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Duuh aisee!! Ila tuwe na akiba ya maneno......siyo kila muda utakipata unachokihitaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simple mathematics, if A equals to B and B equals to C then A equals to C..... imeisha hiyo.Toka umezaliwa umeshawahi kuona au kusikia kiongozi wa CCM ametekwa wala kukamatwa na Polisi?
Sidhani kama ataelewaMkuu hongera saana kama una biashara zako za kuweza kuhamishiwa nchi zingine na ukapata muda wa kuzozana hapa JF.
Na kuandika ulichoqndika. Hongera saana. Ni nadra kufikori kuna wenye biashara zao wanakimbizana na media huku wakitumia media kuiattack serikali.
Hongera saana mkuu... bila unafiki hongera saana.
Noted for future reference!Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
hatopata kura za kutosha - hilo nina uhakika wa 100%.Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Hayo hayatuhusu,, we kimbia tu, uende ufanywe kama J FloydNipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Wewe mkora ni unknown kabisa ni sawa na tonye la maji kwenye bahari.Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais