niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,606
- 5,295
Hawa Makada wa chadema ni wanamaigizo sana. Ha ha ha huyu atahama nchi na mwengine ataacha kazi. Mimi nasema nitamuacha mke wangu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakukumbusha ukisahau maana atashindaNipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Ataje jina la nchi anakohamia siyo kusema tu nahama!Anza kuhama kabisa
Hama aisee...nakuunga mkono, Somalia au Sudan kusini kutakufaa mno.Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Kwani wewe ni Mtanzania? Nyang'ao mkubwa!!Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Huu ndio ukweli...... Maapizo na Hasira ulizoziona miaka 5 jamaa anapiga tu makelele na kufokafoka ni kwa sababu hakushinda uchaguzi hata nape alikiri hivyo lkn Bashiru amekuja kueleza ukweli wote....Lini amewahi kushinda? NEC ndiyo huwa inashinda mkuu
Anza kukusanya mizigo tu maana NEC imeshampitisha leo kuwa mgombea na anasubiri kuapishwa tuNipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Techncaly wewe ni k*ma flani tu kwenda zako kalalweNipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Huendi kokote hillo ni wenge tuu time is everything NITAKUKUMBUSHANipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais
Nitaondoa biashara zangu zote Tanzania na kuziamishia nchi zingine.
Nitaondoa watoto wangu wote Tanzania siwezi kuendelea kuishi kifala ndani ya nchi yangu Bora nikaishi kifala ugenini.
Kwanini naondoka? Kwa sababu sioni nchi ikiwa salama kiuchumi,kisiasa na kibiashara.
Hali itakuwa tete sana!
kutakuwa na mtikisiko mkubwa wa kiuchumi.
Naomba vijana niliokuwa nimewaajiri kwenye mishemishe zangu mnisamehe kama Magufuli atachaguliwa tena kuwa Rais kwa miaka mingine 5.
Nipo tayari kuhama nchi kama Magu atashinda Urais