Iyo siyo ahadi sema utajiua ili tuthibitishe maana kushinda ni lazima wewe ujiulizi maswali kanda ya ziwa kuna mkoa wa tabora,shinyanga,simiyu,hayo majimbo hayajawahi kuwa na upinzani wa kweli,alafu nenda dodoma,ruvuma,mbinga,njombe,manyara,mtwara,lindi,rukwa,mara kutoa kwa heche,Matiko na bulaya,dar watu hawatabiriki magu kaibadili dar sana lolote laweza kutokea ,pwani na morogoro nako lolote laweza kutokea tanga nako mambo yaleyale tegemeo lao kubwa upinzani ni mbeya,arusha na kilimanjaro nawaeleza hii hoja ya uhuru ni mitandaoni tu lakini aslimia 80 ya watanzania ambao wanaishi vijijini na miji midogo ambao wametengenezewa lami na mataa na zahanati wao kazi yao asubuhi shambani na barabarani jioni nyumbani wote watamchagua magu machinga wanavyomfurahia jamaa kawapa uhuru wa biashara zao wao vitambulisho sio is hu.