Uchaguzi 2020 Magufuli akishinda tena Urais mimi nahama Nchi

Hama kuanzia sasa!
 
Nakereka nikiona kijana anaishabikia CCM..Tena Kama nnakumudu ndo kabisa! On a serious note unanikera balaa
Kumbuka tu huu ni wakati wa kuvumiliana mkuu, hatuwezi kufanana kiitikadi wala mapenzi. Binafsi sio shabiki wala mfia CCM, ilà I like Magu, napenda siasa zake. Pole kwa kuumia ilà acha kunilamba "dislike", sio poa kabisa.
 
Hahhhaahhaa.......Ngoja nivumilie
 
Mkuu anza kutembea kuelekea mpakani kabisaaa!
 
Sio kama akishinda! Wewe anza kuhama, nitakusindikiza mpaka mpakani
 
Huyu atakuwa kashavuka boda tangu tarehe 29..
Nipo hapa paris,.ukifika mitaa hii ntumie sms bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…