Ujinga na upumbavu mtupu?
Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.
Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.
wamehongwa na sugu.Halafu kuna nyumbu watakuja hapa kusema umati wote huo umehongwa na Lowassa kufanya fujo!
Mkuu ni raisi kubaini wanaohusika na utoto huo,ni kitu kilicho pangwa in advance - hizo ni dalili tosha za wafa maji watafanya lolote kujipa matumaini hewa, Watanzania walio wengi watamuingiza Ikulu Dk.JPM kwa kura za kishindo uvuvuzela wa baadhi ya wanaukawa wa huko Mbeya na kwengineko notwithstanding,jitayarishe 4 a telling blow baada ya kutangaza matokeo ya kura za Urais,sijui hawa waigizaji wanao jaribu kumkatisha tamaa Tingatinga nyuso zao watazificha WAPI?Ujinga na upumbavu mtupu?
Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.
Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.
kwa hiyo mkuu nchi inaongozwa na mjinga?mjue MAGUFULI.KIKWETE hao ndio wajinga wenzio sio sisi.
Hahahahaaa hahahaaa kuzomewa kubaya sana, kuna kumaliza kisaikolojia kabisa aiseee, Kwanini hakupiga push ups kidogo? Dah
Ushindi hatokani na makelele au kunyoosha vidole juu. Wakiendelea hivi hata sisi tutawajibu
Sijaelewa wazuia msafala na kudai wanataka Lowasa how?
Tutajie eneo ?
Maana apo naona pia makada wa CCM na pia vijana wa CDM kama kawaida yao kuuleta fujo kwenye kusanyiko LA CCM rejea Sugu kupita kwenye mkutano wa Shitambala zaidi ya Mara mbili.
Fujo hazijengi kaa chini sikiliza hoja ufanye maamuzi no wonder Mtikila husema wanakazia viroba na bhangi such that kistaarabu unawaponyoka kabisa
Tunaisambaza hii video tuone kama mamvi atafanya mikutano Kanda ya Ziwa!
Hupaswi onea huruma adui yako...
Tatizo sio Magufuli bali ni CCM yake, CCM ni gari bovu na huwezi sukuma gari bovu ukiwa umelipanda inabidi ushuke usukume au upande jingine
UHUNI kila mtu anauweza ila tumestaarabika...nadhani CCM wanapaswa kuanza mbinu hizi za kutuma vijana wao kwenye mikutano ya UKIWA ili tuone nani ataumia kama sio huyo mamvi....
Ukiona watu wanashabikia uhuni huu jua nao ni wahuni na wanywa viroba...
Hilo la ugonjwa liko wazi wala si kumvunjia heshima Lowassa anaumwa.Unaujua unafiki was viongozi was ccm? na wanaosema lowasa mgonjwa so ni viongozi? wanaosema amejinyea si ni viongozi? walijitokeza kukemea Duni alipozomewa Nzega? je masaburi anayelipa vijana kuandamana kwenda ufipa siyo kiongozi? ni nani alijitokeza kukemea! hawa ni vijana tu waliopigika na maisha hawana hata kadi ya chadema ni matunda ya utawala mbovu was ccm
Mkuu Ta Muganyizi hii sio ya kukosa kabisa....
Mapopoma nayo sijayasahau,njooni muwaone wenzenu wanaojitambua Mr Chin GENTAMYCINE DuppyConqueror
Ustaarabu wako kamfunze kwanza Msukuma,Pro-Chadema kuweni wavumilivu October 25 siyo mbali kama mnaamini nyie ni nguvu ya umma subirini mpige kura siyo kuleta fujo kwenye mikutano ya vyama vingine.
Hata kama hamkubaliani na huyo mgombea fujo za nini wafuasi wao nao wakijibu kwa mgombea wenu mtakuwa wavumilivu.
Fanyeni siasa za kistaarabu msiwe malofa.
Tunaisambaza hii video tuone kama mamvi atafanya mikutano Kanda ya Ziwa!
Halafu hizo video ndizo zinaonesha ni kwa namna gani UKIWA inaungwa mkono na watu wasiojitambua....
Mkuu nakwazika sana binadamu kuitwa NYUMBU, umeshindwa kabisa kupata neno mbadala?