Hii kiboko , mbeya si alishafanya mikutano mbona anarudi tena?au ndiyo wameambiwa mbeya haijaelewa somo wakafanye marudio.Nazidi kuamini kuwa uchaguzi mwaka huu vijana ndiyo watakaoamua matokeo kama vile kwenye mpira wanasema penati ndiyo zinaamua matokeo.
Halafu takwimu zinasema asilimia 75 waliojiandikisha Ni vijana hivyo Kuna kila dalili uchaguzi mwaka huu ukaleta historia mpya.
kwenye hii clip nimeona jamaa amevaa kijano njano anampiga kijana mmojawapo bila mafanikio halafu kijana amempotezea hii si kuanzisha fujo wakimtandika atamlaumu nani?
wametumia haki Yao ya demokrasia vijana hawajamtukana mtu wala kumpiga mtu hii tunaiona hata ulaya,misri,Tunisia,Asia nk
wengine wanakusimamisha uwahutubie wengine wanakuonyesha hisia zao hiyo ndiyo demokrasia
nimependa polisi wetu wameonyesha kuwa Ni professional wametulia inanikumbusha kidogo na ile habari ya tahrir square, cairo