Mkuu ni kwamba huamini???? Nnayo kwenye simu nashinfwa ku upload video...ila youtube ipo...na nyuzi za nyuma utaiona!!Kuna taarifa kuwa kuwa leo mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM amezomewa sana huko Mbeya hadi kushindwa kuhutubia...
Mwenye taarifa zenye ushahidi, wa picha au video atujuze tafadhali!!
kiwatengu pita huku!!Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa
Mkuu ni kwamba huamini???? Nnayo kwenye simu nashinfwa ku upload video...ila youtube ipo...na nyuzi za nyuma utaiona!!
Ingia YouTube search magufuli mbeya.
"l am politicians" by Dr.magufuli original.
Kuna uzi humu ndani wenye video....
Kwa mujibu wa twawezwa kashangiliwa.