Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Kuna taarifa kuwa kuwa leo mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM amezomewa sana huko Mbeya hadi kushindwa kuhutubia...

Mwenye taarifa zenye ushahidi, wa picha au video atujuze tafadhali!!
 
Siku wazomewaji watakapoamua kulipa kisasi.
Na wao wakaanza kuzomea...
 
Nakukumbusha kuwa kikwete aliwahi kupopolewa mawe mbeya. Mbeya ccm haitakiwi kabisa
 
Kuna taarifa kuwa kuwa leo mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM amezomewa sana huko Mbeya hadi kushindwa kuhutubia...

Mwenye taarifa zenye ushahidi, wa picha au video atujuze tafadhali!!
Mkuu ni kwamba huamini???? Nnayo kwenye simu nashinfwa ku upload video...ila youtube ipo...na nyuzi za nyuma utaiona!!
 
Kazomewaaaaaa mbayaaaaaaa..kabaki anajichekesha chekesha tu
 
Kwel mkuu leo asubuh alishindwa ata kuhu2bia ilkuwa njian alcmamishwa klichofuata ni ✌✌✌✌✌✌✌✌
 
Yes kazomewa

Lakini sio kitu cha kujivunia, CCM nao wakifanya hivyo tutakua na amani?
 
Back
Top Bottom