Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Elections 2015 Magufuli akutana na nguvu ya Umma Mbeya, azomewa, aambiwa wanamtaka Lowassa

Akiwa waziri magufuli alihonga nyumba za serikali. Sasa akiwa rais atahonga nn?
Kumbuka rais wa awamu ya tatu alihonga wizara ya fedha kwa ajili ya dili la mwanamke.
Rais wa awamu ya nne alikuwa anahonga wilaya na mikoa.
Ccm inanuka uchafu haisafishiki. Magufuli ni dodoki chafu
 
Sijaelewa wazuia msafala na kudai wanataka Lowasa how?
Tutajie eneo ?
Maana apo naona pia makada wa CCM na pia vijana wa CDM kama kawaida yao kuuleta fujo kwenye kusanyiko LA CCM rejea Sugu kupita kwenye mkutano wa Shitambala zaidi ya Mara mbili.
Fujo hazijengi kaa chini sikiliza hoja ufanye maamuzi no wonder Mtikila husema wanakazia viroba na bhangi such that kistaarabu unawaponyoka kabisa


Ndo hawamtaki, na pia hawajaleta fujo walimuelewesha Mr PUSH UP
 
Kuchaguwa mgonjwa ni sawa na kujaribu kuvuka mto uliojaa mamba kwa kuogelea usijaribu; Vumilia Magufuli ni sampuli nyingine kwenye usimamizi uwezo tayari kesha uonyesha na dhamira hiyo kaiweka wazi mabadiliko yaja achana na matapeli.

Chunga mdomo wako kuhusu mambo ya magonjwa ..... usimkufuru mungu
 
Nimeona kuna mtu wa ccm anataka kupiga mtu, nafikiri magufuli atumie busara zaidi, kwani Kwa Hali hii uvumilivu unatakiwa zaidi, hao ni vijana wasio Na kazi Na nimatokeo ya uongozi usio waangalia watu wake Na wakija wewe ndio umewasababishia watakupinga Kwa nguvu zote.
 
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.

Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.

Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?

Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.

Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.


Unazijua fujo au unaropoka tuuuu
 
Umati upi hao ni wahuni tu wanafanya fujo kama mnamtaka Lowassa na mnajiamini si msubiri siku ya kupiga kura.
Mamamaye ma-ccm kumbe akili mnazo mnajifanya tu hamnazo? Masaburi alipoandaa vijana wa kuandamana si mlikuwa mnashangilia sasa ni zamu yenu wacha mzomewe!! Juzi Gufuli naye anahamasisha vijana wa Geita eti Lowassa akienda huko azomewe, sasa tunasema ni zamu yenu wacha mzomewe!!
 

Attachments

  • 1443369406659.jpg
    1443369406659.jpg
    34.6 KB · Views: 414
Moyo wangu ulikuwa unampenda lowasa akiwa ccm, sasa yupo ukawa hapo tu nashindwa nifanyeje, yaan tuna mtihani mgumu mwaka huu
 
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa





Mkikamatwa na polisi mnaanza kulia!
Hao vijana ni wachache sana, hawazidi 2000, wanachokifanya hapo ni fujo!
Mkumbke Lowasa naye anatembea barabarani tena ktk maeneo ambayo ni ngome za ccm! Hivi kama akifanyiwa haya si mtaanza kulia!
Nadhani siasa za ustaarabu mbeya zimewashinda!
Mnataka kuwatoa kafala Hawa watumia bangi na viroba!
 
Last edited by a moderator:
Coroombia univeeeerzity orr zorry am a politizians congregation....univerrzity of corombia....yah
 
Back
Top Bottom