Gabriel Bisekwa
Member
- Jul 11, 2015
- 91
- 16
Mwenyewe dawa yenu october baada ya Makufuli kuapishwa wengi utakimbia humu jf..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaelewa wazuia msafala na kudai wanataka Lowasa how?
Tutajie eneo ?
Maana apo naona pia makada wa CCM na pia vijana wa CDM kama kawaida yao kuuleta fujo kwenye kusanyiko LA CCM rejea Sugu kupita kwenye mkutano wa Shitambala zaidi ya Mara mbili.
Fujo hazijengi kaa chini sikiliza hoja ufanye maamuzi no wonder Mtikila husema wanakazia viroba na bhangi such that kistaarabu unawaponyoka kabisa
Kuchaguwa mgonjwa ni sawa na kujaribu kuvuka mto uliojaa mamba kwa kuogelea usijaribu; Vumilia Magufuli ni sampuli nyingine kwenye usimamizi uwezo tayari kesha uonyesha na dhamira hiyo kaiweka wazi mabadiliko yaja achana na matapeli.
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.
Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.
Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?
Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.
Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.
Mamamaye ma-ccm kumbe akili mnazo mnajifanya tu hamnazo? Masaburi alipoandaa vijana wa kuandamana si mlikuwa mnashangilia sasa ni zamu yenu wacha mzomewe!! Juzi Gufuli naye anahamasisha vijana wa Geita eti Lowassa akienda huko azomewe, sasa tunasema ni zamu yenu wacha mzomewe!!Umati upi hao ni wahuni tu wanafanya fujo kama mnamtaka Lowassa na mnajiamini si msubiri siku ya kupiga kura.
Sasa nifanyeje kama naipenda ccm
Rais wako
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa
Mpaka nimemuonea huruma!
Majibu ni october mutanyoka tu na huo ushabiki wenu wa kisenge rais ni Makufuli tu ata Fisadi Lowassa atoboi...