Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Yes kazomewa
Lakini sio kitu cha kujivunia, CCM nao wakifanya hivyo tutakua na amani?
Kwani walizomewa na upinzani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kazomewa
Lakini sio kitu cha kujivunia, CCM nao wakifanya hivyo tutakua na amani?
Kweli alisema hivyo?"l am politicians" by Dr.magufuli original.
"l am politicians" by Dr.magufuli original.
Hiyo siyo nguvu ya umma ila ni uhuni.
Uhuni mtu yeyote akiamua anaweza kuufaya, lakini matokeo yake ni kuvujika kwa amani.
Kama wao wameshaamua kuwa wanamtaka Lowassa nini kinawapeleka kwenye mkutano wa Magufuli?
Inaonekana kabisa kuwa kuna kundi lililojiandaa kufanya fujo na walishaandaa camera wapige hii picha ya video.
Ukawa badala ya kuchekelea vitu kama hivi inabidi mvikemee kwa sabau watanzania hawapendi vurugu, hawatamchagua mtu anayeandaa vikundi vya vurugu.
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa
Mkuu mambo yalivyo kwa sasa ni magumu, sometimes kutambua sauti za mzomeo ni ngumu.
ngoja niisake mkuu...
Unazijua fujo au unaropoka tuuuu
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa
Wahuni wachache ? Ina maana hujauona umati ule au kibur tu ? Najua mkiona hivi vitu MNASTUKA!!!