DONARD MUSIMU
Member
- Jul 12, 2015
- 62
- 35
Jamani hili janga la mafao nani attusaidia?Eti watu proffesional hawalipi mafao yao mpaka wastaaafu ,ambapo mikataba yao imeisha na kazi hawana wasubiri tu mpaka wafikishe miaka 60 kwa sababu ni proffesional!! Watakula hiyo proffesional yao mpaka wafikishe miaka 60?
Wawape basi kazi wafanye kazi mpaka wafikishe hiyo miaka wanayotaka wao