Magufuli aliahidi kuboresha mafao ya Wafanyakazi. Badala yake kavuruga maslahi yao, na ametumia fedha za mafao yao kujipaisha zaidi

Magufuli aliahidi kuboresha mafao ya Wafanyakazi. Badala yake kavuruga maslahi yao, na ametumia fedha za mafao yao kujipaisha zaidi

Eti watu proffesional hawalipi mafao yao mpaka wastaaafu ,ambapo mikataba yao imeisha na kazi hawana wasubiri tu mpaka wafikishe miaka 60 kwa sababu ni proffesional!! Watakula hiyo proffesional yao mpaka wafikishe miaka 60?
Wawape basi kazi wafanye kazi mpaka wafikishe hiyo miaka wanayotaka wao
Jamani hili janga la mafao nani attusaidia?
 
Mbali ya kurithi madeni ya serikali, ambapo serikali ilikopa toka mashirika ya hifadhi za jamii, Magufuli badala ya kupunguza madeni hayo, ameyaongeza zaidi na zaidi.
Lete ushahidi
Serikali inapeleka karibu bilioni 200 kila mwezi kwenye mifuko kulipa madeni,deni limepungua
Ni kikiwete na mkapa ndio waliotumia pesa za mifuko,magufuli anatumia sana kodi kujenga nchi
Machinga complex imejengwa kwa bilioni 700
Udom ilijengwa kwa bilioni 900,nahaikuisha kamalizia Magufuli
Tafuteni hoja zingine
 
Back
Top Bottom