stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
Enzi hizo alikuwa akijisifia kwenye hotuba zake eti uchumi unakua kwa 7.3% kila mwaka! Na wakati hali ilikuwa ni tete kweli kweli, kiasi cha kufikia hatua ya kuzinguana na IMF!
Kwenye kampeni alikuja na milioni 50 kila Kijiji!!
Alitudanganya bei ya sukari eti aliikuta ikiwa tsh elfu 5 na hivyo akafanikiwa kuishusha mpaka tsh 3000! 😁😁😁
Na ilikuwa ukimpinga tu, kesho unashangaa uko Mahakama ya Kisutu kwa kosha la uhujumu uchumi, utakatishaji fedha na kuendesha genge la uhalifu! Kesi haina dhamana, unaishia jela!
Alifurahi huyo alipoambiwa eti Tanzania imepanda na kuwa nchi ya uchumi wa kati! 😁😁😁 Dah! Miccm ilitulingishia kipindi hicho!! We acha tu!!
hahaha unaumia ama? kwan IMF walisemaje walivokuja apa?