Atakuja na wewe, nitawakaribishaUna mtetea marehemu akija usiku kukushukuru usishangae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuja na wewe, nitawakaribishaUna mtetea marehemu akija usiku kukushukuru usishangae
Ha ha!Hahaaah kumbe hakuna mapumziko.....
Basi tumuache awaongoze vizuri malaika wa huko.
Kama ni kweli kuwa serikali ina mkono mrefu, yawezekana huyo babu yako alikuwa sahihi.Kweli ya wapi? Ule ulikuwa uongo wa wazi. Babu yangu alikuwa anamuamini ile mbaya, nikawa namuuliza aseme ni kipimo gani ametumia kujua idadi ya samaki huko kwenye maji, akawa anasema eti serikali ina mkono mrefu!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] rangi gani mkuu daIlo la makinikia nilichagua mpaka rangi ya Noah magu hapana aiseee
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ilo la makinikia nilichagua mpaka rangi ya Noah magu hapana aiseee
Kama ni kweli kuwa serikali ina mkono mrefu, yawezekana huyo babu yako alikuwa sahihi.
Don't underrate him.
Ushujaa gani kwa mfano mimi sijui naomba elimu kidogo ushujaa wakeKiongozi bora na shujaa wa Afrika.Tutamuenzi kizazi na kizazi... Hakika tumeshuhudia ukuu wa Mungu kupitia mtu huyu
Jamaa atakuwa na stress sana.Kaka dislikes umehamuka sio?
Kitimoto
Utakomenti kwenye ujinga wa mtoa mada ! Pumb*fWamekimbia
Ni mengi mno kuelezea.Ila mapambano dhidi ya rushwa,Nidhamu kazini na utumishi uliotukuka ni miongoni.Ushujaa gani kwa mfano mimi sijui naomba elimu kidogo ushujaa wake
Anaweza hata akajiua huyuJamaa atakuwa na stress sana.
Sio "uku" ewe sukule stakehigh , ni "huku".mbowe njoo ona wanachama wako uku
Anzisha uzi wa kumsema hayati Magufuli vizuri.Mods fungeni huu uzi haufai maana unamsema Hayati Magufuli vibaya.
HatariiUwiiiii DONA KANTRY.
SEMBE J's hotel inapikwa kwawasaidizi wake hela inaingia mwezi mzima.
MZALENDO NO 1