Magufuli alikuwa muongo sana

Magufuli alikuwa muongo sana

Kweli ya wapi? Ule ulikuwa uongo wa wazi. Babu yangu alikuwa anamuamini ile mbaya, nikawa namuuliza aseme ni kipimo gani ametumia kujua idadi ya samaki huko kwenye maji, akawa anasema eti serikali ina mkono mrefu!
Kama ni kweli kuwa serikali ina mkono mrefu, yawezekana huyo babu yako alikuwa sahihi.
Don't underrate him.
 
Hivi nani alituletea huyu mwongo naye ashitakiwe kwa kiltuletea kichaa.alikuwa mwongo katili mwizi tapeli.yeye kundi lake
 
Ushujaa gani kwa mfano mimi sijui naomba elimu kidogo ushujaa wake
Ni mengi mno kuelezea.Ila mapambano dhidi ya rushwa,Nidhamu kazini na utumishi uliotukuka ni miongoni.
FB_IMG_1623595118034.jpg
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta
 
Back
Top Bottom