Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 8,257
- 11,499
Kibali kimepoteza mamlaka na vile hakikuwepo toka mwanzo kimepoteza nguvu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samia kibali chake kinaisha 2035 inshallah, baada ya katiba mpya 2025 ndio anaanza muhula wake wa miaka kumi....Wanabodi,
Leo, naendelea na zile mada zangu za kwa maslahi ya taifa。Leo naendesha somo la kitu kinachoitwa “Kibali”
Kufuatia Watanzania waliowengi hawapendi kusoma vitu virefu,mada hii naileta kwa vipande vipande hadi ikamilike,naanza na Outline
Paskali
- Kibali ni nini?
- Kibali ni cha kazi gani?
- Kinatolewa na nani?
- Kinatolewa kwa nani?
- Sifa za Kibali ni Kisipotumika,kinafutwa!
- Je Rais Samia ni Kibali?
- Je Anajitambua kuwa yeye ni kibali?
- Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
- Tumsaidie ili atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu au tumuachie mwenyewe?
- A Way Foward 2025
Kwani Katiba iliyopo inasemaje kuhusu hicho KIBALI ???!!Wanabodi,
Leo, naendelea na zile mada zangu za kwa maslahi ya taifa。Leo naendesha somo la kitu kinachoitwa “Kibali”
Kufuatia Watanzania waliowengi hawapendi kusoma vitu virefu,mada hii naileta kwa vipande vipande hadi ikamilike,naanza na Outline
Paskali
- Kibali ni nini?
- Kibali ni cha kazi gani?
- Kinatolewa na nani?
- Kinatolewa kwa nani?
- Sifa za Kibali ni Kisipotumika,kinafutwa!
- Je Rais Samia ni Kibali?
- Je Anajitambua kuwa yeye ni kibali?
- Anakitumia Kibali chake Ipasavyo?
- Tumsaidie ili atimize matakwa ya kibali chake kikamilifu au tumuachie mwenyewe?
- A Way Foward 2025
😳 !What you are doing here is treason. Watch your steps.
Hii ndio shida yetu watanzania, is the word (God/god) a common noun or proper noun if we want to get linguistic on what deserves a capital letter.Mungu siyo mungu please
Kibali cha: Start and go, ila sasa jinsi utavyo kimbia ndivyo utavyopata ushindi na medaliJiwe hakuwa na kibali,kama angekuwa na kibali ni kwanini aliiba uchaguzi.
Kukusaidia tu na wenzako kwenye kukutoa kwenye dhana potofu uliyonayo.Mungu siyo mungu please
Kwa mujibu wa akili yako yaweza kuwa hivyo!Samia kibali chake kinaisha 2035 inshallah, baada ya katiba mpya 2025 ndio anaanza muhula wake wa miaka kumi....
Kwahiyo yeyote yule atakayekuwepo kule juu ni kwa sababu Katiba iliyopo imetaka awepo pale juu. !Kibali ni katiba,
Huo ndio ukweli mkuu, 2025 kutakuwa na katiba mpya baada ya uchaguzi, kwaiyo hii awamu moja ya miaka mitano inakufa,then anaanza upya muhula wa miaka kumi kwa katiba mpyaKwa mujibu wa akili yako yaweza kuwa hivyo!
Kibali husika kwenye swala hili ni KURA, na kura halali tunaipataje? Ni kuwa na tume huru ya uchaguzi, na si vinginevyo.Somo la Kwanza
Kibali ni ruhusa ya kufanya japo fulani,ambalo ili ulifanye ni lazima upate kibali au ruhusa kutoka mamlaka husika。Kibali cha kikuu cha kwanza kwa binadamu baada ya kuumbwa ni kibali cha uhai,kibali cha kuishi na kibali cha kuumba binadamu wengine。Baada ya hapo ni kibali cha kufanya kila kinachofanyika。Kibali kwa mwanamke kuwa mama na mwanaume kuwa baba,ni kupevuka,kibali cha kujenga familia ni kuoa,kibali cha kujenga nyumba ni kumiliki ardhi,kibali cha kufanya biashara ni kuwa na leseni,kibali cha kusafiri nje ni kuwa na passport,kibali cha kuingia nchi fulani ni kuwa na visa, hivyo vibali viko vya aina nyingi。
- Kibali ni nini?
Kibali ninacho kizungumza kwenye uzi huu ni kibali cha kutawala nchi,kuwa mkuu wa nchi。
P
Huo ndio ukweli mkuu, 2025 kutakuwa na katiba mpya baada ya uchaguzi, kwaiyo hii awamu moja ya miaka mitano inakufa,then anaanza upya muhula wa miaka kumi kwa katiba mpya
Ufafanuzi who is YEYE ?!Somo la Pili
2. Kibali ni cha kazi gani?
Kibali ni cha kutimiza lile jukumu la kibali ulichopewa,kama tulivyoona kwenye somo la kwanza, kuna vibali tofauti vya kufanya mambo tofauti tofaouti, ukipewa kibali cha ndoa,inatimiza majukumu ya ndoa,ukipewa kibali cha kufanya biashara,unafanya biashara kwa mujibu wa leseni yako。
Kuna vibali vingi,hadi vibali vya kuua,licence to kill,hata mtu anayehukumiwa kunyongwa,hukumu hiyo haitekelezwi hadi mkuu wa nchi asaini death warrant ndipo anyongwe
Hivyo hata kibali cha kutawala nchi,unatawala kwa mujibu wa kibali chako
japo kibali cha kutawala nchi kimetolewa kwa mujibu wa katiba,anayepewa kibali hicho anapewa na YEYE na anapaswa sio tuu kufuata katiba,bali pia kutimiza madhumuni ya YEYE aluyempa kibali,alimtaka afanye nini,kibali chake ni cha nini na kwanini ni yeye na sio mtu mwingine yeyote?
P