Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

Nikweli,hata adorfu Hitra anakumbukwa pia
 
Exactly, hao misukule ya mwendazake hawawezi kukuelewa kamwe ,
 
Yule alikua Mwamba. Alijua tofauti ya wingi wa pesa na thamani ya pesa.

Najaribu tu kuwaza, hivi ikafikia kipindi dola moja sawa na Tsh 1000, kwa mishahara ilivyomikubwa saizi, serikali itapunguza hiyo mishahara?
Sawa, kazikwe nae
 
Mnapigana vita msiyojua adui yake. Mapambano yakitulia kidogo mnasema vita sasa imeisha mnashangilia. Yakilipuka tena mnarudi palepale mwanzo, mnalaumu na kulaaani. Ni hivi: Hii nchi bila kuifanyia marekebisho makubwa ya kimfumo ili wapatikane viongozi bora kabisa, wanaoongozwa na mifumo imara, wenye kuwajibika kwa wananchi, msitegemee mabadiliko yoyote. Haijalishi viongozi watatoka upinzani au CCM, cha maana tuwe na mfumo mzuri. Vinginevyo watu wataendelea kulialia kila siku wakidhani rais aliye madarakani ndiye adui/rafiki wao.
 
Hapa ndipo utakubali kuwa mwafrika kuitwa nyani au kima ni haki yake. Shilingi laki mbili tu za kitanzania ndiyo zinakufanya useme huyu rais ni mzuri? Kwa nini usiangalia mambo kwa kina zaidi? Halafu mtu kama wewe unaweza ukawa unacheka mababu wa zamani waliokuwa wanabadilisha vipande vya nchi kwa shanga, bila kujua wewe ni mjinga zaidi yao.
 
Ni vema ukazungumza nini kimeisibu 23%?
 
MPUMBAVU WEWE
 
Sasa wewe ulitaka nishukuru kwa lipi? Ngazi ya mshahara wangu inaonesha napaswa kupewa kiasi hicho, wewe unakidharau,kwa hiyo unatulazimisha watanzania wote tumchukie mama,kwa lipi? Hama nchi Kama huridhishwi na utawala wa mama,na kwa taarifa yako huyu yupo Hadi mwaka hadi 2030,jipange kisaikolojia,tofauti na hapo utakufa kibudu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…