Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

Duhhh this is too much we jamaa naisi ulikuwa jera umetoka juzi labda ulifungwa kipindi cha jk 2020-2021 mchele uliuzwa 1000-1200 duka la wapi ilo au mjomba unapika vitumbua unanunua mchele wa chenga? mpaka uyu mama anakabidhiwa nchi mchele ulikuwa umeshafika 2000 tena mpaka 2500 wadanganye wengine lakini siyo mimi hii nchi ilkuwa inaenda kiubabe kodi zinachukuliwa kwa nguvu watu wakawa wanafunga maduka kariakoo ilifika sehemu fremu ikawa mpaka 150000-200,000 tena iyo 200,000 ni china plaza biashara zilikuwa amna mzunguko wa pesa ukawa mdogo yote ayo yamefanyika kwa kipindi cha uyo unayemsifia akaja mama samia leo hii fremu ya 200,000 china plaza amna biashara zimekuwa nyingi watu wamerudi na mzunguko wa hela umeongezeka kitu kimoja ambacho mama inabidi ashauriwe ni kuzuia mazao kwenda nje kwa kipindi iki ..
Usibishe kwa hiyo Bei ya 1000ths/1kg

Hata kipindi Cha SSH , Kuna maeneo imedumu hadi mwezi wa 8- 2021. Maeneo kama Mafinga mjini, Katavi, ubaruku, na sehem nyingine unako limwa mpunga.

Swali la kujiuliza je, Bei ilishuka kwa sababu zipi?

Je , Kuna technology mpya ililetwa uzalishaji ukaongezeka na mkulima akapata mavuno zaidi kwa acre?

Je ,gharama za uzalishaji zilipungua, Kutokana na sera rafiki kwa mkulima?

Majibu yote ni hapana

Tukifaham kwanini Bei ziliporomoka tutaelewa kwanini zimepanda . Na huo upandaji nisahihi.

Baada ya hizo bei za ovyo ,1000tsh/kg1 watu wengi wakishindwa kurudi shambani, lakini pia kwa waliyo pigana kifa nakupona nao wengi wamekutana na upungufu wa mvua. Tusuburi Bado Bei inaweza kupanda zaidi hata kipindi Cha jiwe aliwahi sema
"hiki ndiyo kipindi Cha mkulima kufaidi jasho lake, hata debe 1 lamahindi likibadishwa kwa ndama mmoja sawa tu"

Sio maneno yangu Bali ni ya mwenda zake.
 
Mbona mlisema hajawaongezea?

Hapo kwa Rais Samia kuna kupunguzwa kwa 1% ya Kodi hujaongezea kwenye 20,000 yako..Pia hajamaliza utawala Mzee kwa hiyo tuliza bataksi.
Tulia wewe lichawa lipumbavu sana hapa jukwani!

Kiufupi Samia hata angeoza laki 2 kwenye mshahara bado angefanya kazi bure sababu gharama za maisha zimepanda kwa zaidi ya hiyo 60%

Huu ni mwezi wa mavuno lakini vitu viko bei juu sana sasa ikifika novemba hali itakuwaje?
 
Mkuu kwanza tambua kuwa Mimi sio chawa, pili Mimi sio mnafiki ukweli lazima usemwe kuwa mama anaupiga mwingi, kaingia madarakani ndani ya miezi mitatu nikapanda daraja ambalo lilikuwa na ongezeko la kiasi Cha shilingi 170,000,kamaliza mwaka kaniongezea kiasi Cha sh 55,000 Sasa bado Ni kae
Nalia Lia?,mama anajitahidi kwa kiasi chake.

Tutamuelewa mama tukiacha kumlinganisha na watu wengine,na pia pale tutakapo tambua kuwa mama ndiye rais wetu na hakuna mwingine na tuko naye Hadi mwaka 2030.

Mitano tena kwa mama samia
Hapo ndipo ujinga wako ulipolalia!

Laki 2 ni kitu gani kwa maisha haya yalivyopanda?
 
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.

Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Nimekula buku 11, si bora wewe
 
Duhhh this is too much we jamaa naisi ulikuwa jera umetoka juzi labda ulifungwa kipindi cha jk 2020-2021 mchele uliuzwa 1000-1200 duka la wapi ilo au mjomba unapika vitumbua unanunua mchele wa chenga? mpaka uyu mama anakabidhiwa nchi mchele ulikuwa umeshafika 2000 tena mpaka 2500 wadanganye wengine lakini siyo mimi hii nchi ilkuwa inaenda kiubabe kodi zinachukuliwa kwa nguvu watu wakawa wanafunga maduka kariakoo ilifika sehemu fremu ikawa mpaka 150000-200,000 tena iyo 200,000 ni china plaza biashara zilikuwa amna mzunguko wa pesa ukawa mdogo yote ayo yamefanyika kwa kipindi cha uyo unayemsifia akaja mama samia leo hii fremu ya 200,000 china plaza amna biashara zimekuwa nyingi watu wamerudi na mzunguko wa hela umeongezeka kitu kimoja ambacho mama inabidi ashauriwe ni kuzuia mazao kwenda nje kwa kipindi iki ..
Inaonekana huna majukumu na hujui bei za bidhaa zinavyoenda!
.
Hiyo 2000 ilikuwa ni mchele ule supa!

Yani mchele wa kiwango cha kawaida ilikuwa ni sh elf 1 mpka elf 1500
 
Bora wewe wewe umeongezewa hiyo 20.
Kuna maelfu ya Watumishi wa Umma hawajaongezewa hata mia, mwezi huu wa Julai 2022.
Na wamekaa kimya tu. Na hawamlaumu mtu yeyote.

Miaka saba in dry season.

Ninachojua Waafrika wa ngozi nyeusi bado wapo katika kipindi cha mpito kuelekea Binadamu aliye kamilika na kustaarabika.

Wengi Mioyo yao imejaa chuki, fitna, wivu, ufisadi na ujinga badala ya Upendo.
Wao wapo kwa ajiri ya matumbo yao tu. Ni bora hata wanyama wa mwituni wanakumbuka kuwapa chakula watoto wao, na majirani zao.

Ni wa kuwasamehe tu, hawajui walitendalo.
 
Makelele hayaishi kwa sababu hizi

1) Ni Mzanzibari
2) Ni Muislam
3) Ni Jinsia Yake
 
Tulia wewe lichawa lipumbavu sana hapa jukwani!

Kiufupi Samia hata angeoza laki 2 kwenye mshahara bado angefanya kazi bure sababu gharama za maisha zimepanda kwa zaidi ya hiyo 60%

Huu ni mwezi wa mavuno lakini vitu viko bei juu sana sasa ikifika novemba hali itakuwaje?
Dad yako ndio lipumbavu likakufanya maskini unaomba omba tuu..

Mimi ni chawa mjanja,Ulitaka akulimie nani Ili wewe ununue Bei Chee? Kwa nini usiende kulima ili msimu was mavuno utuuzie Bei Chee?

Hakuna kupe wako was kukulisha ,utaishia kulalamika mitandaoni na hakuna kitu kitabadilika..

Uongezwe laki 2 kwa tija gani uliyofanya? Unadhani pesa inaletwa na mvua? Fala wewe utaishia kulalamika hivyo hivyo.
 
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.

Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Mimi nilipata nyongeza ya shilingi 3,000/- (elfu tatu) enzi za big boss
 
Nyie ndio kupe mlitajwa na Mwalimu Nyerere mnaokula jasho la wakulima..

Awamu hii utakula jasho lako kama ulitegemea mkulima ahenyeke Ili Bei ziwe hovyo wewe unufike imekukata.
Hahaha wewe huwa huwezi kujadili bila hamaki, na kila siku ukiniquote huwa na kwambia kinachokusumbua ni umasikini wako ndiomaana upi kila sehemu kutetea upuuzi wa huyo bibi yako SHH.

NB;Wanaoumia ni mama zenu huko vijijini (hasa wenye watoto masikini na mafukara kama wewe), usiniulize nimejuaje kuwa wewe ni masikini.
 
Duhhh this is too much we jamaa naisi ulikuwa jera umetoka juzi labda ulifungwa kipindi cha jk 2020-2021 mchele uliuzwa 1000-1200 duka la wapi ilo au mjomba unapika vitumbua unanunua mchele wa chenga? mpaka uyu mama anakabidhiwa nchi mchele ulikuwa umeshafika 2000 tena mpaka 2500 wadanganye wengine lakini siyo mimi hii nchi ilkuwa inaenda kiubabe kodi zinachukuliwa kwa nguvu watu wakawa wanafunga maduka kariakoo ilifika sehemu fremu ikawa mpaka 150000-200,000 tena iyo 200,000 ni china plaza biashara zilikuwa amna mzunguko wa pesa ukawa mdogo yote ayo yamefanyika kwa kipindi cha uyo unayemsifia akaja mama samia leo hii fremu ya 200,000 china plaza amna biashara zimekuwa nyingi watu wamerudi na mzunguko wa hela umeongezeka kitu kimoja ambacho mama inabidi ashauriwe ni kuzuia mazao kwenda nje kwa kipindi iki ..
Hahahah mchele uliuzwa 1000-1200 huku mwanza na ni uhakika 100%, najua wapo wengi walioielewa comment yangu. Wewe huwezi kuelewa kwaka upo hapa kutetea.
 
Hapo ndipo ujinga wako ulipolalia!

Laki 2 ni kitu gani kwa maisha haya yalivyopanda?
Mkuu Kwahiyo Nini kifanyike,tuandamane tukamtoe mama ikulu basi,mama anajali masrahi ya watumishi wake na anawapenda na anatamani atulipe zaidi ,Ila Hali haijaruhusu,kwa alichokitoa kajitahidi sana,anastahili kupongezwa.

Mitano tena kwa mama samia!!!
 
Magufuli alikuwa jembe sana, ila pía tukumbuke hio nyongeza enzi ya Magufuli ilikuwa ktk era ya kipindi cha miaka 5, ilhali kwa Mamá Samia ndio kwanza ana mwaka mmoja madarakani hvyo tumpe muda
Muda gani tena Jombiii, acheni kudumaza maendeleo ya nchi na wananchi. Nyinyi ndio aina ya wanaomzunguka mtawala na kumpoteza.
Mama Samia sio mpya katika serikali hii wewe.
 
Back
Top Bottom