johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahaha........!Chawa mmeanza kutamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha........!Chawa mmeanza kutamba
Wapi wanapomhujumu?Kwahiyo sukuma gang hawamhujumu mama?
Jibu swali:Wapi wanapomhujumu?
Usibishe kwa hiyo Bei ya 1000ths/1kgDuhhh this is too much we jamaa naisi ulikuwa jera umetoka juzi labda ulifungwa kipindi cha jk 2020-2021 mchele uliuzwa 1000-1200 duka la wapi ilo au mjomba unapika vitumbua unanunua mchele wa chenga? mpaka uyu mama anakabidhiwa nchi mchele ulikuwa umeshafika 2000 tena mpaka 2500 wadanganye wengine lakini siyo mimi hii nchi ilkuwa inaenda kiubabe kodi zinachukuliwa kwa nguvu watu wakawa wanafunga maduka kariakoo ilifika sehemu fremu ikawa mpaka 150000-200,000 tena iyo 200,000 ni china plaza biashara zilikuwa amna mzunguko wa pesa ukawa mdogo yote ayo yamefanyika kwa kipindi cha uyo unayemsifia akaja mama samia leo hii fremu ya 200,000 china plaza amna biashara zimekuwa nyingi watu wamerudi na mzunguko wa hela umeongezeka kitu kimoja ambacho mama inabidi ashauriwe ni kuzuia mazao kwenda nje kwa kipindi iki ..
Tulia wewe lichawa lipumbavu sana hapa jukwani!Mbona mlisema hajawaongezea?
Hapo kwa Rais Samia kuna kupunguzwa kwa 1% ya Kodi hujaongezea kwenye 20,000 yako..Pia hajamaliza utawala Mzee kwa hiyo tuliza bataksi.
Ukiondoka hapo kwa shemeji yako unapoishi utapata akiliExactly, hao misukule ya mwendazake hawawezi kukuelewa kamwe ,
Hapo ndipo ujinga wako ulipolalia!Mkuu kwanza tambua kuwa Mimi sio chawa, pili Mimi sio mnafiki ukweli lazima usemwe kuwa mama anaupiga mwingi, kaingia madarakani ndani ya miezi mitatu nikapanda daraja ambalo lilikuwa na ongezeko la kiasi Cha shilingi 170,000,kamaliza mwaka kaniongezea kiasi Cha sh 55,000 Sasa bado Ni kae
Nalia Lia?,mama anajitahidi kwa kiasi chake.
Tutamuelewa mama tukiacha kumlinganisha na watu wengine,na pia pale tutakapo tambua kuwa mama ndiye rais wetu na hakuna mwingine na tuko naye Hadi mwaka 2030.
Mitano tena kwa mama samia
Nimekula buku 11, si bora weweNimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Inaonekana huna majukumu na hujui bei za bidhaa zinavyoenda!Duhhh this is too much we jamaa naisi ulikuwa jera umetoka juzi labda ulifungwa kipindi cha jk 2020-2021 mchele uliuzwa 1000-1200 duka la wapi ilo au mjomba unapika vitumbua unanunua mchele wa chenga? mpaka uyu mama anakabidhiwa nchi mchele ulikuwa umeshafika 2000 tena mpaka 2500 wadanganye wengine lakini siyo mimi hii nchi ilkuwa inaenda kiubabe kodi zinachukuliwa kwa nguvu watu wakawa wanafunga maduka kariakoo ilifika sehemu fremu ikawa mpaka 150000-200,000 tena iyo 200,000 ni china plaza biashara zilikuwa amna mzunguko wa pesa ukawa mdogo yote ayo yamefanyika kwa kipindi cha uyo unayemsifia akaja mama samia leo hii fremu ya 200,000 china plaza amna biashara zimekuwa nyingi watu wamerudi na mzunguko wa hela umeongezeka kitu kimoja ambacho mama inabidi ashauriwe ni kuzuia mazao kwenda nje kwa kipindi iki ..
Hana akili ale vizuri?MPUMBAVU WEWE HAUNA AKILI
Dad yako ndio lipumbavu likakufanya maskini unaomba omba tuu..Tulia wewe lichawa lipumbavu sana hapa jukwani!
Kiufupi Samia hata angeoza laki 2 kwenye mshahara bado angefanya kazi bure sababu gharama za maisha zimepanda kwa zaidi ya hiyo 60%
Huu ni mwezi wa mavuno lakini vitu viko bei juu sana sasa ikifika novemba hali itakuwaje?
Mimi nilipata nyongeza ya shilingi 3,000/- (elfu tatu) enzi za big bossNimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Hahaha wewe huwa huwezi kujadili bila hamaki, na kila siku ukiniquote huwa na kwambia kinachokusumbua ni umasikini wako ndiomaana upi kila sehemu kutetea upuuzi wa huyo bibi yako SHH.Nyie ndio kupe mlitajwa na Mwalimu Nyerere mnaokula jasho la wakulima..
Awamu hii utakula jasho lako kama ulitegemea mkulima ahenyeke Ili Bei ziwe hovyo wewe unufike imekukata.
Hahahah mchele uliuzwa 1000-1200 huku mwanza na ni uhakika 100%, najua wapo wengi walioielewa comment yangu. Wewe huwezi kuelewa kwaka upo hapa kutetea.Duhhh this is too much we jamaa naisi ulikuwa jera umetoka juzi labda ulifungwa kipindi cha jk 2020-2021 mchele uliuzwa 1000-1200 duka la wapi ilo au mjomba unapika vitumbua unanunua mchele wa chenga? mpaka uyu mama anakabidhiwa nchi mchele ulikuwa umeshafika 2000 tena mpaka 2500 wadanganye wengine lakini siyo mimi hii nchi ilkuwa inaenda kiubabe kodi zinachukuliwa kwa nguvu watu wakawa wanafunga maduka kariakoo ilifika sehemu fremu ikawa mpaka 150000-200,000 tena iyo 200,000 ni china plaza biashara zilikuwa amna mzunguko wa pesa ukawa mdogo yote ayo yamefanyika kwa kipindi cha uyo unayemsifia akaja mama samia leo hii fremu ya 200,000 china plaza amna biashara zimekuwa nyingi watu wamerudi na mzunguko wa hela umeongezeka kitu kimoja ambacho mama inabidi ashauriwe ni kuzuia mazao kwenda nje kwa kipindi iki ..
Mkuu Kwahiyo Nini kifanyike,tuandamane tukamtoe mama ikulu basi,mama anajali masrahi ya watumishi wake na anawapenda na anatamani atulipe zaidi ,Ila Hali haijaruhusu,kwa alichokitoa kajitahidi sana,anastahili kupongezwa.Hapo ndipo ujinga wako ulipolalia!
Laki 2 ni kitu gani kwa maisha haya yalivyopanda?
Muda gani tena Jombiii, acheni kudumaza maendeleo ya nchi na wananchi. Nyinyi ndio aina ya wanaomzunguka mtawala na kumpoteza.Magufuli alikuwa jembe sana, ila pía tukumbuke hio nyongeza enzi ya Magufuli ilikuwa ktk era ya kipindi cha miaka 5, ilhali kwa Mamá Samia ndio kwanza ana mwaka mmoja madarakani hvyo tumpe muda