MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Upuuzi mtupu timu MATAGANimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Tena yuko motoni kabisaMajizi yatakuja kupinga na kumuita muuwaji
Umeongezewa ngapi kwa kupanda madaraja mwaka jana kisha jumlosha na hiyo asilimia.Majibu tafadhali.Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Kwa mazingira cheo hiko umeona kama offer, na nyongeza ya 55K imekupumbaza kabisa yaniMkuu kwanza tambua kuwa Mimi sio chawa, pili Mimi sio mnafiki ukweli lazima usemwe kuwa mama anaupiga mwingi, kaingia madarakani ndani ya miezi mitatu nikapanda daraja ambalo lilikuwa na ongezeko la kiasi Cha shilingi 170,000,kamaliza mwaka kaniongezea kiasi Cha sh 55,000 Sasa bado Ni kae
Nalia Lia?,mama anajitahidi kwa kiasi chake.
Tutamuelewa mama tukiacha kumlinganisha na watu wengine,na pia pale tutakapo tambua kuwa mama ndiye rais wetu na hakuna mwingine na tuko naye Hadi mwaka 2030.
Mitano tena kwa mama samia
Wakati huo mkulima kilo 1 ya mchele aliuza 600 na 700 na wakati huo kalima heka 1 kwa 800000.Yule jamaa alinfurahisha kwa namna alivyojuw kulinda vitu, hasa vyakula na mahitaji mengine madogomadogo ambayo kimsingi ndio hugusa wengi (Ngoja nitumie mchele kama mfano).
Kitendo cha Mchele kuganda bei ya 1000-1200 kwa miaka miwili (2020-2021) bila kujali wakati wa mavuno au laah kilinifanya nimkubali sana kwenye food security, kibembe alipoingia tu huyu bibi ndani ya miezi 6 ukafikia 2000/= hapo ndo nilipoanza kushtuka kuwa tunakoelekea ni kubaya.
Ukitaka kutawala vizuri bila kelele hata kama ni mwizi basi hakikisha hauwabinyi watu watu kwenye mahitaji yao ya kila siku (hasa vyakula na viambata vyake) kwasababu hapo ndipo unapogusa hisia za wengi kwa wakati mmoja.
Utakuta mtu analipwa 500000Tsh, ila mtu huyohuyo akiwa na 10000 mkononi bado haitoshi hata kwa mahitaji ya siku moja, emagine ukinunua mchele 2Kg kwenye 5000 unabakiwa na 1000 ambayo haitoshi hata kununua mafuta nusu fanta, haya 10K imeisha hivyo[emoji23].
Sasahivi ni wakati wa mavuno ila gunia la mahindi utalinunu kwa 120k-130k, ikifika december au january tutalinunua kwa 200K, mafuta 5Ltrs 40K, daah[emoji23]. Halafu mtu anakuja kutetea eti mfumuko wa bei ni dunia nzima, nimetoka ZAMBIA mwezi uliopita wanaisha life zuri sana, hata Uganda tu hapa hakuna huo mfumuko wa kijinga kweye vyakula.
Haya maisha utayaona mazuri ukiwa mfanyaniashara (ingawa sera nazo ni mbaya), ila kwa watumishi wa umma mtavaa mno suruali moja kwa miezi[emoji23].
Muulize kwenye kupandishwa daraja aliongezewa ngapi?.Mbona mlisema hajawaongezea?
Hapo kwa Rais Samia kuna kupunguzwa kwa 1% ya Kodi hujaongezea kwenye 20,000 yako..Pia hajamaliza utawala Mzee kwa hiyo tuliza bataksi.
Maskini kama wewe ndio kutwa kulalama kama chura msimu wa mvua..Hahaha wewe huwa huwezi kujadili bila hamaki, na kila siku ukiniquote huwa na kwambia kinachokusumbua ni umasikini wako ndiomaana upi kila sehemu kutetea upuuzi wa huyo bibi yako SHH.
NB;Wanaoumia ni mama zenu huko vijijini (hasa wenye watoto masikini na mafukara kama wewe), usiniulize nimejuaje kuwa wewe ni masikini.
Sheria itapitishwa ili tuweze kuwafilimba vizuri street maana wengi wenu ni LGBQTHakuna kitu nasikia raha kama kutwa chawa wa Mama ..
Hiyo sheria iwasiloshwe Bunge lijalo Ili na sisi chawa tukumbukwe.
Walalamikaji ni kundi fulani la wachache waliokula sana bata awamu ya tano. Siku hazigandi.Rais anatakiwa afanye Mambo bila kujari watu watasema Nini , na kamwe hawezi kuwafurahisha wote, na binadamu ni kiumbe mtata sana Ni ngumu kujua Ni Nini anataka.
Mama kaingia madarakani watumishi wengi ikiwemo Mimi tulipanda madaraja kwa fujo, hajakaa sawa kaweka annual increment lakini bado watu wanalalama, sasa afanye lipi tumuelewe.?
Mitano tena kwa #mama samia
Nitaanza kukufilima wewe kwanza 👇Sheria itapitishwa ili tuweze kuwafilimba vizuri street maana wengi wenu ni LGBQT
Chawa!Rais anatakiwa afanye Mambo bila kujari watu watasema Nini , na kamwe hawezi kuwafurahisha wote, na binadamu ni kiumbe mtata sana Ni ngumu kujua Ni Nini anataka.
Mama kaingia madarakani watumishi wengi ikiwemo Mimi tulipanda madaraja kwa fujo, hajakaa sawa kaweka annual increment lakini bado watu wanalalama, sasa afanye lipi tumuelewe.?
Mitano tena kwa #mama samia
Choqo baridi wwNitaanza kukufilima wewe kwanza 👇
Choko moto weweChoqo baridi ww
Hujui hata wanaposema kima cha chini hujui unaweweseka weweseka tu hapo.Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Tshs 70,000 kwa miaka sita ?Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Mkuu kwanza tambua kuwa Mimi sio chawa, pili Mimi sio mnafiki ukweli lazima usemwe kuwa mama anaupiga mwingi, kaingia madarakani ndani ya miezi mitatu nikapanda daraja ambalo lilikuwa na ongezeko la kiasi Cha shilingi 170,000,kamaliza mwaka kaniongezea kiasi Cha sh 55,000 Sasa bado Ni kae
Nalia Lia?,mama anajitahidi kwa kiasi chake.
Tutamuelewa mama tukiacha kumlinganisha na watu wengine,na pia pale tutakapo tambua kuwa mama ndiye rais wetu na hakuna mwingine na tuko naye Hadi mwaka 2030.
Mitano tena kwa mama samia