Magufuli aliniongezea 70,000/= Kwa kupunguza paye, Samia kaniongeza 20,000/= Kwa asilimia 23.3%

Kinachitakiwa kwa sasa ni Katiba mpya, nyingine zote ni porojo tu.
Vilio vimetawala kila mahali, ila kuna wanaufaika wachache watakuja na singeli za kaupiga mwingi..
 
Acha mkome! Mngekuwa mnajua kuwa ushawishi na mkandamizo ulitakiwa uwe katika kudhibiti mfumuko wa bei - msingeomba kuongezewa mishahara!!

Na hata wakiwaongezea mishahara tena, bila kuthibiti bei za bidhaa - mtaendelea kulalamika!

Vyama vya wafanyakazi kuweni huru na mdai zaidi kukidhi mahitaji yenu badala ya kuona salary slip ina herufi kubwa kubwa!! Tumieni vyama vyenu kuweka mbinyo wa kuangalia gharama za maisha - sio ongezeko la mshahara!!
 
Acha mkome! Mngekuwa mnajua kuwa ushawishi na mkandamizo ulitakiwa uwe katika kudhibiti mfumuko wa bei - msingeomba kuongezewa mishahara!!

Na hata wakiwaongezea mishahara tena, bila kuthibiti bei za bidhaa - mtaendelea kulalamika!

Vyama vya wafanyakazi kuweni huru na mdai zaidi kukidhi mahitaji yenu badala ya kuona salary slip ina herufi kubwa kubwa!! Tumieni vyama vyenu kuweka mbinyo wa kuangalia gharama za maisha - sio ongezeko la mshahara!!
 
Wewe una furahi mkulima analia watu tuliacha kulima mahindi tumepanda parachichi ndio inalipa mahindi hayakuwa na soko kipindi cha magu
Nyinyi limeni parachichi , ila linapokuja swala la upungufu wa chakula hatuwezi kukaa kuzunguzmzia parachichi.

Ni mahindi na mchele.
 
Mwamba na jabali la Africa lililosema ukweli daima. Ndyo hata Mimi JPM aliniongeza 70,000/= kwa kupunguza PAYE tofaauti na ongezeko la 20,000 la 23.3% la utawala wa 2022/2023. Huyu mnafiki Mwigulu Nchema na Mzee wa Magomeni na kariakoo wanaleta ulimbukeni wao kuwa wanaobeza nyongeza ya mshahara n wale wenye mshahara Mkubwa?. Hivi Mshahara Mkubwa Ni upi anaousema mzee wa magomeni na kariakoo? . Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Ninyi mnalindwa na mitundu ya bunduki na ving'ora endeleeni kutudhihaki sisi watumishi wa umma of the low income Ila one day mtaelewa consequence ya uongo wenu.
 
For sure nilikua namchukia Sana magu Ila Sasa nimekuja elewa kumbe yule mzee alikua na Nia nzuri tu na watumishi.
Huyu mama kiukweli natamani Sana 2025 wamzunguke apigwe chini ,hajui kitu pia amejaa usanii Sana na ujanja ujanja unaoumiza wengi.

Eeee mungu tupo mbele yako tuondolee huyu mama mswahili kwenye kiti kikubwa hiki kilichomzid uwezo
 
Umenena vema Mkuu. Mfumuko wa bei ndilo tatizo kubwa Sana tena sana Tena Sana. Mafuta Lita toka elfu kumi na tano wakati wa JPM Hadi 40,000/= wakati huu wa Rais Samia SULUHU Hassan!. Haijawahi kutokea!. Haijawahi kutokea! Haijawahi!Haijawahi! Haijawahi kutokea.
 
Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.

Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Mbona wengine kibao tu tumepata daraja jipya na mshahara mpya fasta kipindi cha mama, acheni kupiga sana mayowe kana kwamba mama hajafanya chochote kwenye maslahi ya watumishi........watu kibao tu wamepata daraja na mshahara mpya kipindi hiki cha Bi hangaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…