ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vilio vimetawala kila mahali, ila kuna wanaufaika wachache watakuja na singeli za kaupiga mwingi..
Nyinyi limeni parachichi , ila linapokuja swala la upungufu wa chakula hatuwezi kukaa kuzunguzmzia parachichi.Wewe una furahi mkulima analia watu tuliacha kulima mahindi tumepanda parachichi ndio inalipa mahindi hayakuwa na soko kipindi cha magu
Mwamba na jabali la Africa lililosema ukweli daima. Ndyo hata Mimi JPM aliniongeza 70,000/= kwa kupunguza PAYE tofaauti na ongezeko la 20,000 la 23.3% la utawala wa 2022/2023. Huyu mnafiki Mwigulu Nchema na Mzee wa Magomeni na kariakoo wanaleta ulimbukeni wao kuwa wanaobeza nyongeza ya mshahara n wale wenye mshahara Mkubwa?. Hivi Mshahara Mkubwa Ni upi anaousema mzee wa magomeni na kariakoo? . Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Ninyi mnalindwa na mitundu ya bunduki na ving'ora endeleeni kutudhihaki sisi watumishi wa umma of the low income Ila one day mtaelewa consequence ya uongo wenu.Hayati Magufuli alikuwa ana nia njema na Taifa hili, ila wahuni wachache hasa waliokuwa karibu nae wakamzunguka wakamtoa kafara..
Kwa jinsi gharama ya maisha ilivyopanda, sikutegemea huyu mama aongeze elfu 20 tu..
Hakika Magufuli ataendelea kukumbukwa na watu wenye akili njema..
Umenena vema Mkuu. Mfumuko wa bei ndilo tatizo kubwa Sana tena sana Tena Sana. Mafuta Lita toka elfu kumi na tano wakati wa JPM Hadi 40,000/= wakati huu wa Rais Samia SULUHU Hassan!. Haijawahi kutokea!. Haijawahi kutokea! Haijawahi!Haijawahi! Haijawahi kutokea.Yule jamaa alinfurahisha kwa namna alivyojuw kulinda vitu, hasa vyakula na mahitaji mengine madogomadogo ambayo kimsingi ndio hugusa wengi (Ngoja nitumie mchele kama mfano).
Kitendo cha Mchele kuganda bei ya 1000-1200 kwa miaka miwili (2020-2021) bila kujali wakati wa mavuno au laah kilinifanya nimkubali sana kwenye food security, kibembe alipoingia tu huyu bibi ndani ya miezi 6 ukafikia 2000/= hapo ndo nilipoanza kushtuka kuwa tunakoelekea ni kubaya.
Ukitaka kutawala vizuri bila kelele hata kama ni mwizi basi hakikisha hauwabinyi watu watu kwenye mahitaji yao ya kila siku (hasa vyakula na viambata vyake) kwasababu hapo ndipo unapogusa hisia za wengi kwa wakati mmoja.
Utakuta mtu analipwa 500000Tsh, ila mtu huyohuyo akiwa na 10000 mkononi bado haitoshi hata kwa mahitaji ya siku moja, emagine ukinunua mchele 2Kg kwenye 5000 unabakiwa na 1000 ambayo haitoshi hata kununua mafuta nusu fanta, haya 10K imeisha hivyo😂.
Sasahivi ni wakati wa mavuno ila gunia la mahindi utalinunu kwa 120k-130k, ikifika december au january tutalinunua kwa 200K, mafuta 5Ltrs 40K, daah😂. Halafu mtu anakuja kutetea eti mfumuko wa bei ni dunia nzima, nimetoka ZAMBIA mwezi uliopita wanaisha life zuri sana, hata Uganda tu hapa hakuna huo mfumuko wa kijinga kweye vyakula.
Haya maisha utayaona mazuri ukiwa mfanyaniashara (ingawa sera nazo ni mbaya), ila kwa watumishi wa umma mtavaa mno suruali moja kwa miezi😂.
Mbona wengine kibao tu tumepata daraja jipya na mshahara mpya fasta kipindi cha mama, acheni kupiga sana mayowe kana kwamba mama hajafanya chochote kwenye maslahi ya watumishi........watu kibao tu wamepata daraja na mshahara mpya kipindi hiki cha Bi hangaya.Nimepata nyongeza kubwa ya mshahara wakati wa Magufuli kuliko wakati wa Samia japo wakati wa Samia asilimia ni kubwa.
Sina mengi ya kuongeza lakini naendelea kumshukuru Hayati DR.John Pombe Magufuli , Mungu amlaze mahali pema, tutakukumbuka daima
Si amtengue. Mamlaka anayoMama anahujumiwa na sukuma gang.
Mwigulu anamhujumu mama jamani.
50,000,000 kila kijiji aliwapa?Uzuri was Jpm alikuwa mkweli Kama Jambo haliwezekani anasema wazi,siyo kuwapa watu ahadi hewa,HUO ni uswahili.