Pius J. Kiwarya Lema
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 1,097
- 567
Magufuli ni hatari kuwa kuliko !!!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyefanya mzaha kwenye msiba ni Magufuli kwa kutumia msiba kuomba kura kiaina kwa kuzungumza uongo unaoweza kuzungumzwa na shetani pekee! Naona mapadlok na ccm pumzi imekata; wako ICU na kungojea mazishi Oct 25!umenena jambo la maana, sio kila sehemu ni pa mzaha na utoto, tuwaache familia watimize wajibu wao.
Shemeji yangu alipata ajali ya gari Abu Dhabi na alioawafanyia ICU kwa siku zaidi ya 5, tulip example kuzungumza nae, japo kuwa alikuwa na maumivu makali sana. Mara nyingi inawezekana ku fanya mawasiliano mgonjwa akiwa ICU.
Usitafiri kila kitu unavyojua wewe chagadema
Shemeji yangu alipata ajali ya gari Abu Dhabi na alioawafanyia ICU kwa siku zaidi ya 5, tulip example kuzungumza nae, japo kuwa alikuwa na maumivu makali sana. Mara nyingi inawezekana ku fanya mawasiliano mgonjwa akiwa ICU.
Mimi sijamuelewa Mhe. Magufuli leo akiwa uwanja wa ndege kupokea mwili wa aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara amesema:
- Kabla waziri Kigoda hajapelekwa ICU nje ya nchi niliongea nae akanishauri juu ya kuwasaidia wafanyabiashara nchini.
- Alipokuwa nje ya nchi akiwa ICU alinitumia email na kunishauri.
Maswali yangu:
-Hivi mpaka mtu anapelekwa ICU anakuwa na uwezo wa kuchati?
-Je, Magufuli anasema ICU tunayoijua au?
Huyu ndo anataka urais?
Nasikia alipigiwa na simu kabisa
Wakaongea hadi anaingia ICU
Huyo ndiye mgombea Magufuli
Mimi sijamuelewa Mhe. Magufuli leo akiwa uwanja wa ndege kupokea mwili wa aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara amesema:
- Kabla waziri Kigoda hajapelekwa ICU nje ya nchi niliongea nae akanishauri juu ya kuwasaidia wafanyabiashara nchini.
- Alipokuwa nje ya nchi akiwa ICU alinitumia email na kunishauri.
Maswali yangu:
-Hivi mpaka mtu anapelekwa ICU anakuwa na uwezo wa kuchati?
-Je, Magufuli anasema ICU tunayoijua au?
Huyu ndo anataka urais?
labda embu uliza kwa nini au mgonjwa mwenye sifa gani anatakiwa kukaa ICU?Sio wagonjwa wote wanaokuwa ICU wanakuwa incapacitated!
Pili, inategemea Dr Kigoda alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani? Mfano, mgonjwa wa kansa anaweza kuwa kwenye 'final days' lakini bado anaongea vizuri.
Kumbe alianza utapeli tapeli siku nyingi.Mgombea anatutapeli