Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
magufuli huenda anatumia ile kitu .....
simuelewi kabisa
Mimi nadhani Magufuli huwa anavuta bangi kabla ya kuongea na watu. He is not normal for sometime.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
magufuli huenda anatumia ile kitu .....
simuelewi kabisa
Mimi sijamuelewa Mhe. Magufuli leo akiwa uwanja wa ndege kupokea mwili wa aliyekuwa waziri wa Viwanda na biashara amesema:
- Kabla waziri Kigoda hajapelekwa ICU nje ya nchi niliongea nae akanishauri juu ya kuwasaidia wafanyabiashara nchini.
- Alipokuwa nje ya nchi akiwa ICU alinitumia email na kunishauri.
Maswali yangu:
-Hivi mpaka mtu anapelekwa ICU anakuwa na uwezo wa kuchati?
-Je, Magufuli anasema ICU tunayoijua au?
Huyu ndo anataka urais?
Naona sasa maana ya ICU yaani Intensive Care Unit sio mchezo. Mtu anayepelekwa ICU yupo maututi. Acheni kua wagumu kuelewa kwamba makufuli amekoseya na kuchemka.
Hata shangazi yangu aliugua aliongeya mpaka dakika ya mwisho nikawaida ya ugonjwa mwingine chajabu gani ???
Yani huyu mgombea ana kiherehere sijapata ona, siku akisema ameongea na Captain Komba NEC imchukulie hatua.
Tuache Familia,jamaa na Watu wa Karibu na Dr.Abdallah Kigoda waomboleze na kumzika Ndugu yao kwa amani na salama, tuache kuhusisha Jina la Kigoda na Siasa Chafu.Dr.Kigoda kafanyiwa rafu nyingi sana 2005 lakin hakuwa mtu wa Visasi wala Mbwembwe na Madaha mengi kama walivyo wanasiasa lakini alikuwa ni Mtu mwenye bundle nyingi sana za Kichwani.Pole Mh.Mkapa, Pole Familia