The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Watanzania ni watu wa ajabu sana.
Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko.
Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja.
Magufuli alikua anatumbua watu mchana kweupe hasa vigogo wa serikalini kina Lissu, Zitto and Co wakasema hafuati sheria za umma, haki za binadamu.
Leo tunaweza kukaa hatuna umeme wala maji miezi na waziri ama mawaziri wapo na mama anawabembeleza wajipange ili kuja na suluhisho huku wakisafiri kwenda ulaya na kurudi na watu hatuna umeme wala maji bado watu mnalalamika.
Kwa sasa kina Lissu na Co hawana hoja, watulie mama aemdeshe nchi kwa misingi ya haki za binadamu na uhuru wa kujiamulia. Hii ndio waliokua wanataka sasa wanalazimika nini?
Mama piga kazi hata maharage kilo ikiwa elfu 10 ni soko limeamua.