Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,396
- 4,080
Rais wa hovyo kupata kutokeaJe unga na mahindi na maharage alikuta kiasi gani na akaacha kiasi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa hovyo kupata kutokeaJe unga na mahindi na maharage alikuta kiasi gani na akaacha kiasi gani?
Siku zote wanaolalamika huwa ni wale wanaokosa lakini wale wanaonufaika huwa hawalalamiki !!Watanzania ni watu wa ajabu sana.
Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko.
Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja.
Magufuli alikua anatumbua watu mchana kweupe hasa vigogo wa serikalini kina Lissu, Zitto and Co wakasema hafuati sheria za umma, haki za binadamu.
Leo tunaweza kukaa hatuna umeme wala maji miezi na waziri ama mawaziri wapo na mama anawabembeleza wajipange ili kuja na suluhisho huku wakisafiri kwenda ulaya na kurudi na watu hatuna umeme wala maji bado watu mnalalamika.
Kwa sasa kina Lissu na Co hawana hoja, watulie mama aemdeshe nchi kwa misingi ya haki za binadamu na uhuru wa kujiamulia. Hii ndio waliokua wanataka sasa wanalazimika nini?
Mama piga kazi hata maharage kilo ikiwa elfu 10 ni soko limeamua.
Wewe ni takakataka!MAGUFULI ndio CHANZO cha Yote haya kumbuka wakati anaingia Madarakani Bei ya Sukari ilikuwa sh.1800/= akazuia Sukari kutoka nje leo Sukari sh 30000
MAGUFULI halikwepi hili hata kama AMEFARIKI
First sentence said it allWatanzania ni watu wa ajabu sana.
Rais Hayati Magufuli aliamua kuoanga ama kuingilia upangaji wa bei za bidhaa kuwalinda walaji na wauzaji malalamiko yakawa mengi sana kwamba anapanga bei, anaingilia soko.
Mama ameacha soko liamua bado hao hao kina Lissu wanasema Maharage na Nyama bei moja.
Magufuli alikua anatumbua watu mchana kweupe hasa vigogo wa serikalini kina Lissu, Zitto and Co wakasema hafuati sheria za umma, haki za binadamu.
Leo tunaweza kukaa hatuna umeme wala maji miezi na waziri ama mawaziri wapo na mama anawabembeleza wajipange ili kuja na suluhisho huku wakisafiri kwenda ulaya na kurudi na watu hatuna umeme wala maji bado watu mnalalamika.
Kwa sasa kina Lissu na Co hawana hoja, watulie mama aemdeshe nchi kwa misingi ya haki za binadamu na uhuru wa kujiamulia. Hii ndio waliokua wanataka sasa wanalazimika nini?
Mama piga kazi hata maharage kilo ikiwa elfu 10 ni soko limeamua.
Endelea kulialia!Magufuli alimpangia bei ya bidhaa nani? Aliingilia biashara ya sukari bei ndio ikapanda kabisa. Nakumbuka wakuu wa mikoa akina Makonda nk walikuwa wanaingia hadi kwenye magodown ya watu kufuatilia kama wameficha sukari. Lakini sukari ndio ikapanda kabisa toka wakati huo.
Mafuta ya kula yalipanda maradufu baada ya yeye kuingilia hiyo biashara, nakumbuka alikuwa anazuia meli toka nje zisishushe mafuta toka nje, toka wakati ule hadi leo bei ya mafuta ikapaa. Usidhani tumesahau. Korosho, baadhi ya mazao mengine yalishuka bei baada ya yeye kuingilia.
Wewe taka, hakuna mkulima anafaida na hii bei sasa hiviJiwe alikuwa mshenzi tu kwa kuingilia mifumo ya masoko ya mazao. Acha mkulima auze mazao apendapo ili apate faida.
Ni mjinga tu ndiye anaweza kumlaumu mama ktk suala la bei za vyakula kupanda bei. Ni tatizo la dunia nzima.
Cha muhimu kama mtu anaona bei za mazao ziko juu atumie mvua hizi kulima mazao yake mwenyewe.
Lkn siyo ukae unadanga, unabeti, unafanya uchawa, unafanya umachinga , halafu anayelima alazimishwe kukuuzia chakula kwa bei ndogo.
Rais wa hovyo kupata kutokea