Magufuli alipanga bei ya bidhaa mkasema anaingilia soko, Mama ameacha soko liamue mnasema maharage na nyama bei moja

Siku zote wanaolalamika huwa ni wale wanaokosa lakini wale wanaonufaika huwa hawalalamiki !!
 
MAGUFULI ndio CHANZO cha Yote haya kumbuka wakati anaingia Madarakani Bei ya Sukari ilikuwa sh.1800/= akazuia Sukari kutoka nje leo Sukari sh 30000
MAGUFULI halikwepi hili hata kama AMEFARIKI
Wewe ni takakataka!

Mchele na maharage alikuta bei gani na sasa ni bei gani?

Sukari hata ikifia kilo elfu 10 alafu unga, mchele na maharage vikawa bei himilivu hutaona mtu akilalamika maana hivyo ndio vyakula vyao vya kila siku siyo sukari!
Umesiki we mavi?
 
First sentence said it all
 
Endelea kulialia!
 
Wewe taka, hakuna mkulima anafaida na hii bei sasa hivi
 
aacha wauze nje ya nchi na hapohapo wa waachie wafanya biashara waagizie vyakula vyote kutoka nje uwepo ushindani mpaka nyanya walete kutoka nje ya nchi tuone kama bei itapanda na uache wakulima wauze nje sisi tutakula vyakula vinavyoletwa kutoka malaysia na india na vietnam tuone wakulima watanyooka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…