Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

Magufuli alisema "nanyoosha nchi kwanza" Samia kasema "nisimamie uchumi kwanza"

Huu mwendo tusiuache CHADEMA tukanyagie hapohapo maana hawana aibu hata ukifika mwaka 2050 watatuambia wanajenga nchi hivyo tusidai katiba mpya. Tafakari
 
Vizingiti ni vingi hata jf tuliyoiamini Leo inatugeuka Ila never give up
 
Back
Top Bottom