Uzi usifutwe, kesho ubadilishwe rangiMODS TAFADHALI IN CAPS LETTER..
futa huu uzi
TISS watakuwa wamepanic, wakamuingiza chaka, maana nondo za Mnyika na pressure ya umma na vyombo vya habari vya nje vitakuwa viliwapanikisha!Majaliwa kajivua nguo leo hadharani. Aibu kubwa bora angekaa kimya.
Taratibu wewe jamaa hahaUnakataa unataka ufe wewe au?
Taifa la hapo kwenu!Huyu mzee akifa Tanzania kutafurika furaha kuu. Katuumiza sana watumishi na Watanzania
Nimeona umeanzisha uzi wa kumuhenzi marehemu Munga Tehnan, kwa akili hizi mafunzo yake yalipita sikio la kulia na kutokea la kushoto![emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji872][emoji872][emoji872]
Sasa tumuombee ufufuo? Songo wane acha hizoWote tupige magoti tumwombee apone plz, badala ya kubishana humu piga magoti umwombee plz do itππ
Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf
Na Nani? Case closedHuyuu magu hatuelewani ila sitaki afee bado kuna vitu namkubali Mungu umlinde. Anyooshe nchi pia waliompga lisu risasi washtakiwe na waliomteka ben saa nane waahughilikiwe.
Wote? Yaani hata kina Tundu Lissu na ukoo wa Ben Saanane?Wote tupige magoti tumwombee apone plz, badala ya kubishana humu piga magoti umwombee plz do itππ
π π πHuyuu magu hatuelewani ila sitaki afee bado kuna vitu namkubali Mungu umlinde. Anyooshe nchi pia waliompga lisu risasi washtakiwe na waliomteka ben saa nane waahughilikiwe.
Hapana mkuu,Uzi usifutwe, kesho ubadilishwe rangi
Unaijua JamiiForums au unaisikia? Kama haikufa enzi za Ben, Basi kamwe haitokufaJf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf
Tetesi kwa habari nzito hiviMkuu unajua maana ya tetesi??