Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Wenye Mamlaka ya kuifuta wenyewe wanapatia habari muhimu humu.Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye Mamlaka ya kuifuta wenyewe wanapatia habari muhimu humu.Jf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf
Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani...
Ulazwe unapo stahili
NashangaaDaah unafaidika nini??
Hii habari haina chanzo, tafadhali ifute JF itapata matatizo.
,[emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji1529][emoji1529]Habari zilizo tufikia punde ni kuwa mhe Magufuli hatunae Tena duniani...
Ulazwe unapo stahili
Ufungwe vipi. Kwani tetesi ni dhambi, kwani yeye Mungu kwamba hawezi kufa?Mods! Fungeni huu Uzi!
Mpaka sasa ukiona uzi una trend basi tetesi inaweza kugeuka breaking newsJf ombeni sana wasilione hili bango..huu mtandao wenu unaweza baki tu kwenye historia kwamba kuliwahi kua na mtandao wa jf
Kwa kasi ya nyuzi kufutwa huu usingechukua roundHivi nyie mnadhani mko very much concerned kuliko wenye JF.
Wenye JF watskuwa wameshajua kitu ndo maana huu uzi umeachwa, na ndo maana umeletwa usiku wa manane ili public iamke na taar