Tetesi: Magufuli amefariki dunia

Tetesi: Magufuli amefariki dunia

Status
Not open for further replies.
Najua kupoteza mzazi, Magufuli ni mzazi, ana watoto. MUNGU waibishe hawa kwa jina la kristo
 
Nakesha hapa kukataa kifo kwa jina la Kristo, naiamuru mifupa ya Magufuli irudi na ikawe mizima. Natamka uzima
Kifo sio adhabu kwa mwanadamu bali ni haki yetu ya kuishi na kufa. Tusikufuru.
Yesu tunaye muamini ALIZALIWA na KIFO kika mrudisha kwa Baba yetu aliye Mbinguni,basi,sisi ni nani hadi tusiguswe na kifo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua Mod kwa nini hawaufuti huu uzi wa uzushi...Ni kwa sababu haujafafanua ni Magufuli yupi.Kwa hiyo Hii ni Ze Comedi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom