Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

Mjinga huyu anapoza mgogoro wa Samia na wamasai
 
Aibu ni kwa wale walioua viwanda vingi nchi hii.
 
Mimi sitaki namba. Bali anitaji kiwanda anachodhani ni cha Magufuli alijenga kwaajili ya Nchi nami namtajia mmiliki wa hicho kiwanda atakachokitaja. Nipo tayari.
Kuna dogo mmoja anafanya kazi kwenye wizara ya viwanda na biashara wakati wa Jpm alikuwa anatushushia List ya viwanda vilivyojengwa awamu ya tano hasa akitaja idadi tu. Nikamwambia anitajie viwanda vitano tu anioneshe viko mkoa gani na vinazalisha nini🤣🤣🤣Hadi leo ni miaka mitatu sasa hajajibu.

Mzee Magufuli aliwekeza sana pesa nyingi kwenye vikundi vya sifa badala ya kuonesha kwa matendo
 
Mkuu isije kuwa vyerehani vinne ni kiwanda.

Zile nyimbo za ProJpm za viwanda hadi tuliziba maskio kumbe hakuna kiwanda hata kimoja
Wewe Mama hana mambo ya kijinga ukienda pale Kwala na Kigamboni utakita Kazi za ujenzi zinaendelea..

Wengine Hawa wako mbioni
 
Mleta mada inaonekana huna uelewa wa kutosha wa kauli ya hayati magufuli. Serikali ilishatoka katika mfumo hodhi ( mfumo wa kushikilia viwanda n.k) ili kukuza uchumi badala yake inaanda mazingira wezeshi ya kuwezesha watu kuwekeza katika viwanda.

Sasa unataka serikali ijenge kiwanda then kiwanda hicho kishindane na watu binafsi, unadhan mtu binafsi ataweza ku-survive kwenye ushindan huo?


Hebu tafakari Kwa kina juu ya bandiko lako
 
Kilimanjaro Ikternational Leather Industries Co. Ltd, Kiwanda cha viatu bora kabisa vya ngozi kwa Africa, chenye kutumia tekkologia kutoka italy, kilijengwa na serikali 2017
Mkuu, hiki kiwanda ni cha Kilimanjaro International leather Industries Co. ltd (KLICL) ni Mali ya PSSSF na Prisons Corporation Sole (PCS). Michango ya Wastaafu wetu inaenda huko mwisho wa siku Hawalipwi kwa Wakati. Magereza wao wanachofanya ni kupeleka wafungwa wafanye kazi.
 
Taja kiwanda cha Mfano cha Magufuli. Mimi naweza kukutajia alivyojenga Nyerere. Hivyo vya Pwani ni Viwanda vya Wahindi
Hakuna majibu ukaishia kutukanwa tu. Kuna watu hawamini kwamba magufuli alikuwa binadamu wa hovyo tuuu
 
Mkuu acha kujianika, simtetei Magu lakini sidhani kama alisema Serikali itajenga viwanda na kuviendesha. Kama nchi tulishatoka huko tangu zama za Mkapa. Enzi za Nyerere, siasa za uchumi zilikuwa tofauti na hizi, ndio maana Serikalini ilikiwa inamiliki viwanda na hata migahawa.
Taja kiwanda cha Mfano cha Magufuli. Mimi naweza kukutajia alivyojenga Nyerere. Hivyo vya Pwani ni Viwanda vya Wahindi
c
 
Nyerere alifanya natinalization akataifisha viwanda toka kwa wawekezaji through Azimio la Arusha.Na hata kama alijenga mfumo wa kiuchumi wa Nyerere ulikuwa tofauti na sasa(command economy) wakati tupo kwenye free market.
Pimbi ninyi, viwanda vya korosho karibia vyote ni Mwalimu, vya chai, Pamba na vingi vya mazao.
Mwalimu alikuwa strategic, karibia Agro-Processing industries zote alijenga yeye.

Magufuli nil.
 
Kiwanda cha mfano alicho acha ni maiti za binadamu kuokotwa kwenye viroba. Yaani already packed.
 

Marekani, Ujerumani, Uingereza, Japan… ni miongoni mwa kubwa za viwanda ! Nitajie raisi au waziri mkuu gani au chanselor gani alijenga yeye mwenyewe viwanda ? Hebu muacheni huyo bwana apumzike kwa amani pamoja na mapungufu yake mengi ! Daa !
 
Aliacha elfu saba kwa mujibu wa Jafo akiwa Waziri wa TAMISEMI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…