Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Hadi kule kijiji kwenu njombe mwandazake alifanya yake.Onyesha viwanda vilivyojengwa na private sector basi,mdomo tuu
Vya Samia hivi hapa [emoji116]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi kule kijiji kwenu njombe mwandazake alifanya yake.Onyesha viwanda vilivyojengwa na private sector basi,mdomo tuu
Vya Samia hivi hapa [emoji116]
Kiwanda kilikuwepo sio kipya 😆😆😆😆Hadi kule kijiji kwenu njombe mwandazake alifanya yake.View attachment 2259764
Magufuli afagilia kiwanda kipya,Kiwanda kilikuwepo sio kipya [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kati ya viwanda hivyo viwanda vikubwa ni 201[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Angejenga hata 100 vya maana Tanzania tungekuwa tunaizidi Kenya...
Tutajie hata viwanda 5 vipya
Hakuna kitu akifanya yule mshamba..Magufuli afagilia kiwanda kipya,
Wananjombe wanasema Magufuli oyeeeView attachment 2259771
Hakuna kitu akifanya yule mshamba..
Viwanda ni kama hivi hapa kwenye video sio ginery za kukatakata majani ya chai afu unaita kiwanda [emoji38][emoji38][emoji116]
Kasema taja kiwanda, acha kuwa longolongo kama JiweSi tumekubaliana kwamba serikali haifanyi biashara Bali inaweka mazingira mazuri yenye kufavour wafanyabiashara wafungue viwanda!!?
Kwa nn alaumiwe magu? Km viwanda nenda mkuranga kuna viwanda vya kutosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imbecile!
Kwani ulidhani serikali ndio I inajenga viwanda au inatengeneza mazingira kwa wawekezaji?
Kama vile vya Cherehani 4Kwahyo furaha yako ni kuona anko aliondoka bila ya kuacha kiwanda hata kimoja sio![emoji848]
Kile ni kifo hakupanga kufa ila ilitokea huenda angelikuwa hai angelikuwa ashaanza kufungua viwanda...
[emoji848][emoji848][emoji848] Hata kuandika tu neno serikali hujui. Wewe utakuwa mnyongeSelikal huwa haimiliki.viwanda kwa maana ifanye biashara hata ukija usa kazi ya selikali ni kutengeneza mazingira mazuri kwa watu au wawekezaji wao ndio wazalishe na selikal ikusanyekodi kupitia kiwanda na waajiliwa wa kiwanda
Apumzike vp kwa amani kwa uovu wake uleMarekani, Ujerumani, Uingereza, Japan… ni miongoni mwa kubwa za viwanda ! Nitajie raisi au waziri mkuu gani au chanselor gani alijenga yeye mwenyewe viwanda ? Hebu muacheni huyo bwana apumzike kwa amani pamoja na mapungufu yake mengi ! Daa !
Mmehama tayari, sukuma gang mtapata tabu sanaWatu wanaumia huko ngorongoro we unaleta umalaya wako wa kisiasa apa je rais anajenga viwanda au anaweka sera
Acha Ujinga. Mwinyi alikuwa na Ruksa mtu Mtu kufanya atakacho, Mkapa alikuwa na Uhuru na Uwazi, Kikwete alikuwa na Mkukuta na Mkurabita. Lakini mwenda zake aliluwa na Tanzania ya Magufuli ni Tanzania ya Viwanda hapa kazi tu. Au miaka mitano ikaisha bila kufa nyakazi yoyote. Kazi aliyofanya ya kufokafoka kwenye Mikutano yake. Ubabe mwingi kumbe naye anakufaMwinyi, Mkapa na Kikwete walijenga viwanda gani.
Cherehani 4 ni kiwanda - MwijageSalaam Wakuu,
Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.
Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.
Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.
Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?
Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.
Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
View attachment 2259480
Angalia hapa alikuwa ananyang'anya watu Viwanda vyao anadai ni vyake. Mungu Shujaa