Issue sio kiwanda kujengwa na serikali bali sera za serikali kuwezesha ujengwaji huo wa viwanda!
Kwahiyo badala ya kutafuta ni kiwinda kipi kilijengwa na serikali ya JPM, usahihi ni kuangalia ikiwa kweli ujengaji wa viwanda ulifanyika wakati wa JPM bila kujali kama ni kiwanda kilichojengwa na serikali (na hiyo sio kazi yake) au kilijengwa na sekya binafsi!
Tatizo ninaloona ni moja... hata vile viwanda ambavyo ujenzi wake ulianza kabla ya Awamu ya 5, basi tunaambiwa ni kazi ya JPM kwa sababu tu umalizikaji wakati ulifanyika wakati wa JPM, au ni yeye ndie alienda kuzindua.
Na kuna vingine ilikuwa vikifanyiwa ukarabati hata kama vilijengwa wakati wa Nyerere, tukawa tunaambiwa ni "Matunda ya Tanzania ya Viwanda"!
Lakini kama suala zima la ujenzi lilianza wakati wa JPM, basi JPM ndie anastahili credit hata kama ni kiwanda cha mtu/taasisi binafsi!!