Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

Salaam Wakuu,

Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.

Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.

Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.

Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?

Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.

Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
View attachment 2259480
Angalia hapa alikuwa ananyang'anya watu Viwanda vyao anadai ni vyake. Mungu Shujaa
😆😆😆,sijui wasukuma watasema nini hapa
 
Hicho ni cha

Warundi jamaa yangu na siyo mali ya waTZ
Unaelewa maana ya uwekezaji? Kwani mali za wafanyabiashara/wawekezaji zinakuaje mali za Serikali ya Tanzania?

Hivi nyie hata civics mlisoma lakini? How comes minor issues kama hizi hamzielewi?

Investors wakija wanaleta mitaji au wanakuja Kukopa kwenye banks zetu,wananunua bidhaa za Nchi wakati wa Ujenzi,wanaajiri Watanzania,wanaleta teknolojia,wanapanua soko la bidhaa za nje na mwisho wanalipa Kodi mbalimbali za serikali na wao wanafaidika..

Kwa taarifa yako ukiacha hicho kiwanda hao Intracom wanajenga kiwanda cha saruji Kigoma kikubwa kuliko hicho cha mbolea.
 
Attachments

  • Screenshot_20220513-104418.png
    Screenshot_20220513-104418.png
    147 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220513-104556.png
    Screenshot_20220513-104556.png
    57.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220513-104822.png
    Screenshot_20220513-104822.png
    58.9 KB · Views: 6
Salaam Wakuu,

Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.

Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.

Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.

Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?

Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.

Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
View attachment 2259480
Angalia hapa alikuwa ananyang'anya watu Viwanda vyao anadai ni vyake. Mungu Shujaa
Watu wanaumia huko ngorongoro we unaleta umalaya wako wa kisiasa apa je rais anajenga viwanda au anaweka sera
 
Hv tukisema Tanzania ya viwanda maana yake serikali ijenge viwanda na kufanya biashara? Au iweke mazingira rafiki ya watu wake kufanya hivyo?
Mazingira yawe rafiki sasa fashisti alifanya mazingira kimbiza wawekezaji
 
Kilimanjaro Ikternational Leather Industries Co. Ltd, Kiwanda cha viatu bora kabisa vya ngozi kwa Africa, chenye kutumia tekkologia kutoka italy, kilijengwa na serikali 2017
Mchakato wa hicho kiwanda ulianza back 2010 wakati wa jk
 
Hv tukisema Tanzania ya viwanda maana yake serikali ijenge viwanda na kufanya biashara? Au iweke mazingira rafiki ya watu wake kufanya hivyo?
Maana anataka kusema Obama, Trump, Reagan, Bush walijenga sana viwanda ndio maana Marekani ina viwanda vinhi! Ahahahahaha!
 
Una mafi mengi sana matakoni tumboni sasa yanapanda kichwani kayatoe.
 
Salaam Wakuu,

Baba wa Taifa aliacha Viwanda Vingi sana kiasi kwamba Nchi ilishindwa kuviendeleza hadi Vikabinafsishwa.

Wakati wa Kampeni ya 2015. Mwenda zake alisema "TANZANIA YA MAGUFULI NI TANZANIA YA VIWANDA". Lakini hata baada ya kuongoza awamu tano, alishindwa kujenga kiwanda hata cha sindano wala toothpick za kuchokonolea meno.

Mfano: Nchi idaiwe, haina kiwanda kilichojengwa na Magufuli tunachoweza kuuza wala kubinafsisha kama ilivyokuwa kwa Nyerere. Halafu anaibuka mjinga mmoja eti Magufuli ni sawa na Nyerere.

Rostam akijenga utasikia hongera Magufuli, Ajenge Mo Dewji eti hongera Magufuli, Ajenge Bakhresa utasikia juhudi za awamu ya tano. Kwanini ujisifie utajenga Viwanda wakati huna Mpango wala hela?

Ili Tanzania iondoe umasikini, lazima viongozi tunaowachagua wasimamie kile wanachokiamini.

Tanzania iligubikwa na Viongozi waongo. Kuanzia Majaliwa na Magufuli wake.
View attachment 2259480
Angalia hapa alikuwa ananyang'anya watu Viwanda vyao anadai ni vyake. Mungu Shujaa
Alafu we Figa miyeyusho kinoma.
 
Hv tukisema Tanzania ya viwanda maana yake serikali ijenge viwanda na kufanya biashara? Au iweke mazingira rafiki ya watu wake kufanya hivyo?
Ungekaa kimya mkuu. Kumjibu mjinga ni kununua ujinga wake.
 
Nyerere alikua ni chizi tu kama Magufuri . Suala sio kiwanda suala ni mahitaji ya bidhaa. Mahitaji ya bidhaa yakiwepo na binadamu wanauwezo wa kununua ndio upelekea uzalishaji ( kujenga viwanda kwa ajili ya uzalishaji).
Sasa sera za hao wahuni zilikua ni kama zakike kurukia vitu juu juu bila kuangalia roots.
Viwanda ni Entrepreneurship sio Politics.
You know nothing about Mwalimu Nyerere and I wonder if you were born when he was still the president of Tanzania.
 
Mkuu, hiki kiwanda ni cha Kilimanjaro International leather Industries Co. ltd (KLICL) ni Mali ya PSSSF na Prisons Corporation Sole (PCS). Michango ya Wastaafu wetu inaenda huko mwisho wa siku Hawalipwi kwa Wakati. Magereza wao wanachofanya ni kupeleka wafungwa wafanye kazi.
Pssf ni serikali magereza ni serikali kwaiyo ni cha serikali na alikizindua maguful 2020
 
Back
Top Bottom