Magufuli amekufa bila kuacha hata Kiwanda Kimoja cha Mfano

Issue sio kiwanda kujengwa na serikali bali sera za serikali kuwezesha ujengwaji huo wa viwanda!

Kwahiyo badala ya kutafuta ni kiwinda kipi kilijengwa na serikali ya JPM, usahihi ni kuangalia ikiwa kweli ujengaji wa viwanda ulifanyika wakati wa JPM bila kujali kama ni kiwanda kilichojengwa na serikali (na hiyo sio kazi yake) au kilijengwa na sekya binafsi!

Tatizo ninaloona ni moja... hata vile viwanda ambavyo ujenzi wake ulianza kabla ya Awamu ya 5, basi tunaambiwa ni kazi ya JPM kwa sababu tu umalizikaji wakati ulifanyika wakati wa JPM, au ni yeye ndie alienda kuzindua.

Na kuna vingine ilikuwa vikifanyiwa ukarabati hata kama vilijengwa wakati wa Nyerere, tukawa tunaambiwa ni "Matunda ya Tanzania ya Viwanda"!

Lakini kama suala zima la ujenzi lilianza wakati wa JPM, basi JPM ndie anastahili credit hata kama ni kiwanda cha mtu/taasisi binafsi!!
 
Tajiri anayefanya ngazi ,,
kwa kukakanyaga masikini ili azidi kuwa tajiri ,
huyo kuna haja gn wa kumsikitikia?

90% ya matajiri ni watu wa Mambo ya dhuluma/ wakwepa Kodi na kunyanyasa wanyonge..

Watanzania tunajuwa waliokuwa wanateseka na Magufuli ni akina Nani.
Ndy hao hao Leo wanashangilia na kutamba mitaani..
 
Usijisifie umasikini, kataa kuwa mnyonge. Unyonge siyo sifa mkuu.
 
Naomba mkumbuke ya kuwa marehemu hasemwi hata siku moja. Nyie endeleeni tu.
 
Si ametuachia Bashite na Sabaya hawa ni zaidi ya viwanda.
 
Aliandaa mazingira wezeshi gani zaidi ya kuwatimua wawekezaji wenye mitaji yao na wakahama nchi kabisa!??
Walikuwa wachumia tumbo a.k.a wawekezaji uchwara.

Hivi Kwa taarifa zilizotoka ambazo had leo hawajazikanusha hao wawekezaji - taifa lilikuwa linanufaika vipi?
 
Taja kiwanda cha Mfano cha Magufuli. Mimi naweza kukutajia alivyojenga Nyerere. Hivyo vya Pwani ni Viwanda vya Wahindi
Kiwanda cha Bakhresa Bagamoyo, Kiwandq cha Rostam Aziz Morogoro, Kiwanda cha kusafisha dhahabu cha Abdallah kule Chunya. Mbona vingi tu kuna Viwanda vitatu vya Cement na vingine vya mbolea na zao la Korosho.
 
Magufuli alikuwa tapeli yule. Dhamira yake kubwa ilikuwa kukibadilisha kijiji cha Chato kuwa jiji.
 
Alikuwa mzugaji tu
 
alianza na bwawa la umeme kwanza alafu ndo vije viwanda.
 
Government ensure conducive and favourable environment for industrial investment from foreign inventory and native through various ways RUDI SHULE UKASOME IZO WAYS
 
Mkuranga kuna kiwanda kikubwa cha tikes unless kinamilikiwa na ukoo wako
 
akili ya kindergarten imetumika kuleta uzi mezani
 
Magufuli alikuwa tapeli yule. Dhamira yake kubwa ilikuwa kukibadilisha kijiji cha Chato kuwa jiji.
Wapuuzi wachache ambao hamna akili hamuwezi kuona mambo aliyoyafanya Magufuli hapo watu wametaja viwanda vingi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…