Magufuli angekuwepo sio tu vitu vingepanda bei, vingeadimika kabisa

Kwa watetezi wa Magufuli najua mna hisia kali sana, lakini hebu jaribuni kujibu hoja kwa hoja, sio matusi

Hebu niambieni ni mambo gani Magufuli angefanya au alishafanya ambayo yangeshusha bei za vitu

Wafrica ni wajinga sana. Magufu has gone wala hausiki na bei kupanda kwann usimshauri Bi Tozo angalie namna ya kushusha bei kwenye bidhaaa?
 
Hakpa kazi tu ilikuwa inaeleweka.
 
Hivi kwanini humu jukwaani watu wanapenda kumjadili Magufuli kana kwamba wengine tulikuwa watoto wakati anatawala na tumejiunga JF wakati Magufuli amefariki!

Kila Kiongozi anafanya uamuzi kulingana na situation aliyoikuta, Magufuli na yeye aliamua kulingana na falsafa yake Kama walivyokuwa wakifanya watangulizi wake na Samia na yeye anapambana na hali yake kulingana na Mazingira aliyoyakuta;hali ya kiuchumi aliyoikuta ameamua kuweka tozo na kukopa zaidi 🤣🤣🤣

Kwaiyo nikupoteza muda kuwalaumu wanasiasa,kwasasa tutembee kifua mbere na Mama!
 
Actually huyu dikteta wala watu wenye akili hawataki hata kumjadili, sema wafuasi wake wakianza kuleta propaganda lazima tuweke sawa
Sasa hapa nani kaleta propaganda? Fanyeni yenu mbona mnaficha madhaifu yenu kwa mgongo wa Magufuli? Inflation ilianza kipindi cha Covid ila sisi kwenye Tanzania yetu hatukuwa na Inflation! Sasa kazi kwenu acheni kujificha kwenye mgongo wa jiwe kwa madhaifu yanu, mnasemehe mahera kibao huko kwenye makampuni ya madini alafu mnakuja kuwakamua wananchi wenu matozo mlivyo na akili za ushuz
 
Tupo awamu ya sita kijana.

Maswala ya kuturudisha nyuma achana nayo.

Lete mambo ya awamu hii ya kulamba asali na kula kwa urefu wa kamba.

Au unaogopa kwa kuwa umekamatia chaka lako unatupiga tu taratibu??
 
Makala ndefu imejaa ujinga na upumbavu
 
Na tozo watu wangelipa na hakuna wa kunyanyua mdomo..

Ujue mkiwa na Rais mwenye kiburi huwa ni disaster,imagine ndani ya miaka yake 5 mafuta ya magari yaliwahi adimika mara 2,sukari mara 2 na saruji mara 1 na hakukuwa na balaa kama za Uongozi wa Sasa..

Mwendazake angekuwepo Hali ingekuwa mbaya na angekuwa katili zaidi akiogopa kupinduliwa.
 
Si upo awamu ya sita ya kulamba asali endelea kulamba sio mnaharibu huko. Kumtaja marehemu akukuzuii kulamba buyu la asali.
 
Mahera ndio nini? Jifunze kwanza kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…