Magufuli angekuwepo sio tu vitu vingepanda bei, vingeadimika kabisa

Ametuvusha salama kipindi cha Covid-19.

Miaka yote aliyokaa madarakani ali-control inflation. And mind you, inflation kwa Tanzania ilikuwa uncontrollable tangu June/July mwaka jana.

Uchumi unahitaji viongozi aina ya Magufuli.
 
Wanyonge ni watu wasiokuwa na elimu na wanapumbazwa kirahisi na wanasiasa laghai kama yule wa Chato
 
Aliweza kwenye ko-19 pia angeweza kwenye hili la sasa pia
 
Aliweza ku control corona wakati corona ndio ilimuua? Ali control corona kwa maombi? Hivi kwa akili yako ugonjwa unaweza kuwa controlled na maombi?
 
Ametuvusha salama kipindi cha Covid-19.

Miaka yote aliyokaa madarakani ali-control inflation. And mind you, inflation kwa Tanzania ilikuwa uncontrollable tangu June/July mwaka jana.

Uchumi unahitaji viongozi aina ya Magufuli.
Hivi kwa akili yako corona inaweza kuondolewa kwa maombi? Na ndio maana ilimuondoa
 
My God. Huyo ni kikwete siyo Samia.

Yaani unaacha chakula kiishe afu uje uanze kugawa hehe he heee takataka

Akili za pimbi hizi
Chakula sio cha serikali mbumbumbu weee, chakula ni mali ya wakulima waliolima kwa nguvu zao na wana haki ya kuuza popote kwa bei yoyote
 
Nchi ipi ya Afrika imenunua mafuta kutoka russia,? Russia huwezi kununua mafuta sababu imewekewa vikwazo
 
Point alafu kwanini tumkisie ange fanya hivi au inge kua hivi wao ndio walikua wanamuongoza au ndio elimu zetu za kukariri na kubet (siidharau elimu ila nina mashaka na tunaotafuta elimu)

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Akili za Magufuli tunazifahamu zilivyokuwa kwa hiyo tunajua ambacho angefanya
 
Kila mara mnalialia tu. Fanyeni kazi la sivtyo 2025 mtaenda mkafagie kabli lake ndio mpewe kura.
Tupewe kura kwa hisani ya Magufuli, wakati yeye mwenyewe ilibidi anajisi uchaguzi ili atangazwe mshindi kwa shuruti.
 
Huwa nikikumbuka sakata la sukari na korosho hakika dhalimu alikuwa na maamuzi ya hovyo Sana ila ndo rais aliye pendwa na masikini wengi kwa jina la rais wa wanyonge
Kawaulize wakulima wakorosho kilicho wakuta msimu huu wa mama.
Wakulima wanamlilia Magufuli wewe dalali unakuja na mihemko na hujui chochote kuhusu kilimo.
Na bado akiliitawakaa sawa tu
 
Dah, mkuu watanzania wengi wana uelewa finyu sana, yaani kwa staili hii demokrasia haifai kama wanahadaiwa na wanasiasa kirahisi hivi

Magufuli huyu huyu aliyekuwa akitukana watu kuwa serikali haina shamba kama huna chakula kufa, leo hii ndio anaonekana eti shujaa wa masikini ?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kawaulize wakulima wakorosho kilicho wakuta msimu huu wa mama.
Wakulima wanamlilia Magufuli wewe dalali unakuja na mihemko na hujui chochote kuhusu kilimo.
Na bado akiliitawakaa sawa tu
Sasa si afadhali kipindi hiki cha Samia kuliko kile kipindi Magufuli alitumia jeshi kuwapora na kisha zikaenda kumwaga baharini?
 
Sio tuu Wana akili finyu bali manyumbu ni wengi Sana.
 
Kwa watetezi wa Magufuli najua mna hisia kali sana, lakini hebu jaribuni kujibu hoja kwa hoja, sio matusi

Hebu niambieni ni mambo gani Magufuli angefanya au alishafanya ambayo yangeshusha bei za vitu
Kweli mmeishiwa hoja kweli mnaongelea mtu au tasisi harafu hoja yako haina mashiko jaribu kufikiria kipindi kigumu alichopitia Magufuli kama corona halifanya nn je aliwaumiza hao watu au aliwasaidia sio kuandika ili kufurahisha mabwana zenu harafu Mh.MAGUFULI kamaliza kazi yake kwa sasa pambaneni na hali ya sasa
 
Hoja ni uchumi wetu ulikuwa comparatively imara wakati wa Covid-19 kuliko nchi nyingi duniani.
Vitu kupanda bei imetokea baada ya Covid kuisha, kipindi cha covid vitu vilikuwa bei ya chini mfano mafuta, maana demand ilikuwa chini.

Covid kuisha na vikwazo kuondolewa demanda ikapanda ghafla wakati uzalishaji ulikuwa umesimama, ndio maana bei zikapanda
Sijui uelewa wako wa uchumi upoje ila nimekuelezea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…