Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

Kwahiyo Mbowe, Lissu, Nyalandu wote wanagombea urais? Hoja ya hovyo.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Yani magufuli ndiye kawajenga hofu ccm wote wanatetemeka hasa wakisikia jina la CHADEMA......wanaogopa uchaguzi, wanaogopa tume huru, hawataki katiba ya wananchi ile ya warioba ila wao wanajitungia sheria ya kutoshitakiwa kw akuvunja katiba.....

CHADEMA ipo kwenye mioyo ya watu lkn ccm ipo kwenye mioyo ya polisi, tume ya uchaguzi na msajiri wa vyama vya siasa
 
Matumaini unayojipa humu hi ya mda tu yata yeyuka mapema.
 
Hata mimi nakubaliana na wewe kuwa Yohana atapata shida sana na kampeni za mwaka huu.

Tofauti na Lowasa, Membe na Nyarandu wanaonekana kuwa wamedhamiria kabisa kuibomoa CCM. Pamoja na kwamba CCM watatumia TISS, Police na Wateule, bado sana itawawia vigumu kuliko wanavyoaminishwa sasa na propaganda za kuwa Magufuli anapendwa sana.
 
ngoja mnogeshaji aje
 
Shida ni kwamba wao ndo wameshika mpini, ata wasipopata kura hata moja watapora ushindi na watakuongoza tu utake usitake[emoji26] so acheni kujifariji kiujumla uchaguzi huu hauna mvuto kabisa.
Nguvu ya Dola nayo huwa ina mwisho wake. Ni nchi kibao zilikuwa na watawala maharamia wanaotawala kwa mkono wa chuma lakini siku ilipofika Vyombo Vya Dola vilisalimu amri. Nguvu ya umma usicheze nayo. Hata mimi siombei itokee hapa kwetu kwani madhara yake ni makubwa na nchi kuja kurudi tena kwenye mstari inachukuwa muda sana. Kuna wengi (hata mimi) huwa tunaona kama watanzania ni waoga wana na hawawezi kufanya fujo lakini historia inaonyesha watu wa aina hiyo ni wabaya sana na wanalipulika kama moto wa petrol mpaka kila mtu anashangaa.
 
Kuna watu wakuwafanyia huo uhuni wakatulia ila si kariba ya watu aina ya Lissu au Membe!!

Kote kulikotokea ukombozi usikiri hakukua na Dola laah aina ya watu walioleta ukombozi ndo ilikua chachu!
Hata kwa Lowassa mulisema maneno kama haya lakini jamaa kamaliza muhula.
Kumbuka Membe ni CCM damu. Ipo siku ataludi alikotoka kama Edward. Matter of time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…