Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Stigler's inafanyika dar??Ngoma haifai hii,kule Momba juzi Silinde anawambia wananchi mambo ya Stigler's,Flyover sijui SGR jamaa wakamwambia oyaa achana na hayo mambo yaliyofanyika huko dar tuambie kilichofanyika hapa.
We tulia tu mzee baba hio singo ya stigler's itachuja wiki ya kwanza tu ya kampeni.Stiglers , bombawadia na flyover tumeshazisikia sana hadi tumezichoka, sijui atawadanganya nini tena watanganyika hawa ?
Kubwa Mzee baba atulie tu kwasababuKatika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!
Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.
Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.
Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.
Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.
Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!
Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!
Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
Huko mikoani hayo yote wanajua yanafanyikia dar.Stigler's inafanyika dar??
Mkuu, usipotoshe wanachama. Kinana aliongea ukweli juzi. Uchaguzi huu si mwepesi pamoja na mazuri yote yaliyofanyika.Mwaka huu Kama CCM watampigia kampen mgombea wao wa urais ni matumizi mabaya ya fedha za Chama. Kwasasa fedha za kampen ya urais wazielekeze kujenga na kukarabati vyuo vya uongozi na Taasisi nyingine za CCM.
Blood sacrifice lazima ihusike kwenye uporaji.Ushindi utaporwa kwa nguvu! mtake/msitake
Ila kinana ni jasiri sana . kumbuka haki ya vyama wengine wanashikwa na kufungwa wengine wanapeta.Mkuu, usipotoshe wanachama. Kinana aliongea ukweli juzi. Uchaguzi huu si mwepesi pamoja na mazuri yote yaliyofanyika.
Sio kwamba itachujaWe tulia tu mzee baba hio singo ya stigler's itachuja wiki ya kwanza tu ya kampeni.
Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!
Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.
Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.
Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.
Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.
Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!
Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!
Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
Tuombe vyama vya upinzani wachague wale walio kipigania chama miaka yote mitano. Yaani patachimbikaSio kwamba itachuja
In fact imeshachuja kabla haijaanza kutumika.
Kuwe na tume huru na police wakae pembeni uone uchaguzi halisiMantiki inatuambia kama mtu hana kitu huwezi kuona mtu anahangahika naye. Mnajaza uzi kuhusu JPM badala ya mnaowapenda. Amba lulu na Gigi wanatosha kupambana na hao wakina Lissu nk. Sisi Tz. Jembe letu Ni JPM. kuongea hata mimi Nini PHD 2. DDR. Lakini Tz inahitaji Mtendaji wa kuwaminya wavivu kama nyie. Maneno 24 hours. No actions.
Hiyo combination ni kali kuliko ya Lowasa, Sumaye, Mbowe, babu Duni, Mbatia na Lipumba?Katika chaguzi zenye joto kali na la namna yake ni huu wa 2020!!
Kitakachopandisha joto zaidi ni aina ya mgombea anaetetea kiti chake kupitia CCM yaani John Pombe Magufuli.
Sipati picha combination ya Membe, Lissu, Mbowe, Nyalandu and the like mbele ya JPM.
Tunaomjua JPM ni mtu asiyeziweza hoja wala upinzani. JPM ni mtu mwoga na DHAIFU sana asiye na subira wala utulivu.
Miaka 5 yote ya kupiga kampeni mwenyewe bado hajiamini na mwoga mno.
Joto la mwaka huu tofauti na ilivyotarajiwa litakuwa kali sana huku hoja nzito nzito kutoka upinzani zikitamalaki huku JPM asijue cha kufanya!!
Hoja ya makinikia, wizi wa trillion 1.5, manunuzi ya kifisadi ya ndege, kivuko kibovu, nyumba za serikali kwa mahawara... Stigla na SGR vitatawala majukwaani huku akina Zitto wakijaribu kuwaelewesha watu ni kwa namna gani JPM kupitia ATCL amewalisha watanzania mzigo mzito wa hasara isiyobebeka!
Mbele ya hoja nzito Magufuli ni mwepesi kama karatasi!
Ndugu Zangu Msemakweli Ni Mpenzi Wa MunguVijana waliotoka ma vyuoni tangu 2015-2020 hawana ajira wala nini,wanasema wanamsubiria kwny Kampeni zake aje awaletee zile story zake za stigler's sijui flyover..
Hamna kitu hapo JPM ana hali mbaya sana hoja ya MAENDELEO YA VITU VS MAENDELEO YA WATU tena mengine yapo kisheria yatamfunga sana kuliko wanaCCM wanavyofikiria.Kule Babati walijaza gesti zote kumhujumu jembe mwaka 2015 lakini Jembe akitumia mbinu za medani alimgaragaza vilivyo EL na UKAWA.
Jiulize ni mbunge au diwani gani asiyependa kutumia jina la JPM ili ashinde mwaka huu
Ssm ya mergufuli has planted the seeds for its own destruction. Discuss.Ila kinana ni jasiri sana . kumbuka haki ya vyama wengine wanashikwa na kufungwa wengine wanapeta.
Yaani Tundu lissu apande jukwaani akiwa amevaa bukta aoneshe majeraha Yake unadhani watu watakumbuka fly over?
Wakifanya kinyume na hapo, nitampigia Magufuli kampeni ya kufa mtu kama nilivyofanya mwaka uleeee.Tuombe vyama vya upinzani wachague wale walio kipigania chama miaka yote mitano. Yaani patachimbika