Uchaguzi 2020 Magufuli ataweza himili joto hili hapo Oktoba?

Naona mnaendelea kujipa moyo

Safi Sana
 
Hata kwa Lowassa mulisema maneno kama haya lakini jamaa kamaliza muhula.
Kumbuka Membe ni CCM damu. Ipo siku ataludi alikotoka kama Edward. Matter of time.
Zama za Lowassa si hizi!! Kama Lowassa aliyekua hawezi ongea zaidi ya dakika 5 alipata Kura million 6 vipi Membe?
 
Tatizo kubwa watu wetu huwa wavivu wakusoma historia.

Wanafikiri sisi tuna dola imara sana kuliko za akina Al Bashir, Mubarak n.k
 
Akili za CHADEMA, 2015 mlikuwa Hadi na Kingunge lakini mjapigwa knock out matata sana, This time hata mje na Nani sa4 Watu wanatoka ibadani JPM kashashinda..

Na niwaeleze tu Hakuna Uchaguzi mwepesi Kama Huu
 
Hiyo combination niliyoiweka hapo sio ya kitoto toto!! Hao ni watu majasiri na walio tayari kwa lolote!! Jiwe akijaribu atakiona cha moto!
Nyalandu ujasiri ameuanza lini?
 
Akili za CHADEMA, 2015 mlikuwa Hadi na Kingunge lakini mjapigwa knock out matata sana, This time hata mje na Nani sa4 Watu wanatoka ibadani JPM kashashinda..

Na niwaeleze tu Hakuna Uchaguzi mwepesi Kama Huu
Sure
 
Mataga mnamuogopa sana membe hamna hoja zaidi ya kusema yatakua yaleyale ya lowassa....ILA TIME WILL TELL
 
Nyalandu ujasiri ameuanza lini?
Kuondoka CCM ukaacha hadi ubunge sio ujasiri?

Wewe unaweza?

Najua nyie ma sadists mnaofurahia shida za watu Magu ndo size yenu.
 
Kuondoka CCM ukaacha hadi ubunge sio ujasiri?

Wewe unaweza?

Najua nyie ma sadists mnaofurahia shida za watu Magu ndo size yenu.
Ujasiri my foot. Tulieni muonyeshwe siasa Oktoba.
 
NDOTO ZA MCHANA HIZO,JIPENI MOYO TU. LKN NI HAKI YENU.
 
Wameshaanza kujihami eti hawataki matusi!!
 
Unajifanya kumjua Magu wetu! Hao wezi na makuwadi wa mabeberu watamalizwa hoja zao na msiba Wala hawatafika kwa polepole, sembuse jembe letu!
 
Unajifanya kumjua Magu wetu! Hao wezi na makuwadi wa mabeberu watamalizwa hoja zao na msiba Wala hawatafika kwa polepole, sembuse jembe letu!
Professor lipumba alisema mpingane kwa hoja sio kwa mtutu wala bao la mkono. Aliyechaguliwa apewe
 
Mataga mnamuogopa sana membe hamna hoja zaidi ya kusema yatakua yaleyale ya lowassa....ILA TIME WILL TELL
Membe yupo kwà kazi maalum mkuu, Afu andaa kabisa Dekio la kudeki barabara awamu hii!!
 
Acha kumfananisha JPM na Wapigaji hao na waabudu ukoloni.
Wenzenu Ulaya Wanatamani JPM awe wao nyie mnamtaka Membe Muomba neti ili atoe Dhahabu na Tanzanite, Lissu ambaye amewaahidi Wakoloni kuwa Tanzania itakuwa chini ya Himaya ya Wakoloni, Nyarandu Mwizi wa Twiga na Sokwe na nyara za Serikali na mla bata Ulaya kwa kutumia kodi zetu n.k
Tuache kumdhihaki Mungu,
 
Kwahiyo mkuu na wewe umeamua kutulisha matango pori siyo!😁😁, We unafikiri hoja za akina zitto,membe, lissu etc zitawafanya wapiga kura kubadilisha mtazamo!?...heel no wananchi wanaelewa JPM kawatoa wapi na anawapeleka wapi hao upinzani wanafanya kutimiza tu azma ya vyama vingi lakini mshindi na Magufuli.

NOTE: acha kuwaaminisha wanajamii forum utapolo wako huo, chadema hawana lolote..deal done.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…