Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Unafahamu process ya kupandisha umeme unakuwaje?
Yes hatua ya public hearing imefanyika, je waziri husika alipewa taarifa?
 
Huyu ndiye kabariki ongezeko la gharama kwa kushindwa kuikatalia Tanesco kwa masilahi ya wananchi.
 

Hapana, ni team Against Vs President, government na team yake.

Hawa team against wapo wameungana na ndiyo wanakosea katika timing zao katika kutoa taarifa yote ikiwa ni katika kutaka kumharibia raisi na serikali ili awe discredited.

Flow of information- nafikiri zipo njia mbili kulekea Ikulu kwa raisi mwenyewe na kwa kurugenzi ya mawasiliano na kuna aina tatu za haya mawasiliano- yaani kuna downward, upward or horizontally.

Halafu kuna barrier yaani vizuizi na hivi ndivyo raisi anajaribu kuviondoa ili apate kuwa na effective communication na watu walio chini yake au "subordinates".

Ila huwezi kuwa na mtitiriko mzuri wa taarifa kama hakuna nidhamu iwe kwenye timu nzima, vikozi kazi au kamati mbalimbali.

Hivyo raisi ananyoosha hii kitu aondpe vizuizi na awe na mawasiliano ya moja kwa moja na wasaidizi wake ambao wataelewa yeye anataka nini.
 
Kwani tatzo la tanesco ni mramba au ni mzigo wa kulipa yale mabilioni ya fidia?
 
Vichwa vya kupandisha bei holela?
 
Kwahiyo wewe uko tayari kubeba zigo la mafisadi?...
 
Unafahamu process ya kupandisha umeme unakuwaje?
Yes hatua ya public hearing imefanyika, je waziri husika alipewa taarifa?
Je Serikal ndo imejua jana Kwamba bei ya Umeme itapanda???
 
Waliopandish
Vichwa vya kupandisha bei holela?
Waliopandisha bei ni Tanesco au EWURA!!?

Alikuwa anatafutiwa sababu tu!! Inge make a bit of sense kama waliwahusisha Ewura angetumbuliwa pia!
 
Ila kwa mauza uza ya Tanesco, huyu jamaa mi niliweka mzigo kama angekatiza mwaka, kajitahidi!
 
Barua haina tareh sahihi hakuna wala mhuri mmh
 
sio kila mtu rais anaweza mtengua otherwise atakuwa anavunja sheria.. CEO wa ewura anatenguliwa na bodi lkn baada ya kujiridhisha kupitia kamati maalumu iyakayoteuliwa...
 
Tatizo lipo kwenye kutangaza, mchakato wa kupata bei mpya hauna tatizo, baada ya kupata bei mpya kabla ya kutangaza walitakiwa kuwasiliana na serikali kama wanavyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…