Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

namshauri dokta Tito asiage palechuo aseme tu kaenda piga pati taimu tanesco mana sayyote anatenguliwa.
 
amemuonea, halikuwa kosa LA kimfukuzisha kazi. May be alikuwa anamvutia speed akijichanganya tu amle kichwa. pole Sana Mramba
 
Kama alikuwa anakunywa soda basi itakuwa imempalia, kama nyama itakuwa imekwama
 
Toka alipoteuliea mramba kwa maoni yangu na kwa mara ya kwanza niliona tanesco wakifanya vizuri kwenye kutoa huduma kuliko wakurugenzi wote waliopita,,zile kelele za uooooo tulishazisahau ila si muda mrefuu zinarudiii
Mkuu ata mimi nilikuwa ninamkubali sana Mramba kwa utendaji wake mzuri.ameibadilisha sana tanesco kiutendaji.
 
Sasa Mramba na Magufuli + Muhongo nani dhaifu kiutendaji? Au kwakuwa wanapigapiga makelele majukwaani! Hivi TANESCO aliyoikuta Mramba unaifahamu? Ile TANESCO ya Mhando!
wapiga kelele mkuu hawatakuelewa nimesema na narudia tena mramba ni one of the best md's waliowahi kuwepo na kaliinua sana shirika
 
Uncle Magu alifukuza wahandisi 5000 kipindi chake akiwa Waziri wa ujenzi. Mkuu si mtu wa sports sports. Vijana tupo atumbue atupe kazi....
 
Tumia akili usibwatebwate hovyo,ni lini EWURA iliweka wazi suala la kupanda gharama za umeme kama sio jana? Tetesi zilikuwepo tangia octoba zilienea sana mitandaoni,je ulitaka serikali ijibu tetesi??? Mahaba ya ukawa uasikukabe uwe mtumwa wa fikra.
Kilaza kweli wewe,unajua hata maana ya tetesi??
Yani wewe suala la kupanda kwa bei ndo umelisikia jana?? Upo nchi gan? Swala hili liliwekwa public na Mkurugenzi wa EWURA tokea November kwa taarifa yako.haya unalingine?
 
mkuu umeongea mawe mno point tupu
 
wapiga kelele mkuu hawatakuelewa nimesema na narudia tena mramba ni one of the best md's waliowahi kuwepo na kaliinua sana shirika
Tanesco yote ni Shida tu, wanajisikia sana. Utafikiri Umeme wanagawa Bure, watumbuliwe tu labda watabadilika.
 
mkuu ungeuliza kwanza huo uamuzi sio wa mramba ni baada ya kamati ya majadiliano kati ya wafanyakazi kupitia tuico na bodi then wizara ikathibitisha so uamuzi wa unit 700 sio wa mramba
 
Hilo lakutengua peke yake siamini kama litaleta tija tanesco, tatizo la tanesco ni mikataba mibovu iliyongia tanesco na wakampuni kama lptl, dowan, nk yanalipwa/kuizia tanesco umeme bei juu, na hili mkuu wa nchi analijua. Akiondoa haya mazimwi tanesco itakuwa uwezo wa kujiendesha.mkuu wa nchi anatakiwa kutumia moyo wa chuma kukata hii mirija ya lptl na dowan, kinyume na hapo tutakuwa tunacheza mchezo wa mbuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…