Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Maamuzi ya mihemuko mkuu, No reasoning, no consissors, ma hivyo alipanga kwenda kutoa neno Kanisani akapatia cha kusema ili ashangiliwe.

Siasa kwa asiye mwana siasa ili aonekane mwanasiasa mahiri.
Nilishangaa mijitu ya Kagera Kanisani inashangilia na kutelekezwa kote!
 
It was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.

God bless you Injinia
Ni swala lamuda tu alikua anmtafutia sababu tu kwani alianza kumlalamikia tangu wakati wa kampeni kua anamhuju lazma utapanda
 

Sheria haiko hivyo!
Hata hivyo barua ya kuomba kupandisha bei ya umeme Tanasco walimcopy katibu mkuu wa Wizara, kama Wizara ingekuwa na objection wangeiraise hiyo kwenye vikao
 
Ivi jumapili nayo ni siku ya kazi ama,Magufuli kweli ni mtu wa kazi,kamtumbua mtu siku ya Jumapili ...............
 
It was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.

God bless you Injinia

argument ya msingi kuhusu kutenguliwa kwa Mramba ni kwamba hawakufuate procedure..
 
Serekali inawasiliana kwa nyaraka...madokezo...paper trail sio kujitangazia tangazia
 
Umeme hautapanda kwasababu tunarudi kwenye "command economy" yaani a centrally planned economy! Ambapo bei zitapangwa na tume ya bei ya taifa kwa sababu tunatetea "wananchi wanyonge" walioumbwa kwa mfano wa Mungu!!
"Wananchi wanyonge, walioumbwa kwa mfano wa Mungu".
Wananchi ambao sio "wanyonge" wao wameumbwa kwa mfano wa nani?
Hivi "wanyonge" nchi hii ni nani? Wako wapi? Unyonge wao umesababishwa na nani/nini? Hivi ni kweli baada ya miaka 55 ya uhuru bado tuna Tanzania ya "wanyonge"walioumbwa kwa mfano wa Mungu?
 
Reactions: MTK
Kuchimba gesi is even more expensive kuliko ulivyoaminishwa na wanasiasa bila wewe kufikiri na kulinganisha mafuta na gesi. Huwezi maana unaambiwa cha kufikiri
Najua hilo ila niliona ujio wa gesi utaongeza uzalishaji wa umeme hivyo umeme wa maji ungeshuka kidogo badala yake wanapandisha
 
Kuchimba gesi is even more expensive kuliko ulivyoaminishwa na wanasiasa bila wewe kufikiri na kulinganisha mafuta na gesi. Huwezi maana unaambiwa cha kufikiri
Mafuta yametokea wapi hapo?
 
chige na richard.....
msitoke nje ya mada tafadhari....
Vitu vidogo sana hivi ndugu yangu! Inawezekana Richard ni baba wa familia tena mwenye madaraka kwenye serikali ya JPM!

Trust me, watu wa aina hiyo hawawezi kuvumilia criticism!! Na ni social factor kamwe huwezi kuwalaumu!

Sasa hebu pata picha Kamanda IGP Ernest Mangu anaingia JF kwa jina la chige... hivi unadhani atavumilia criticism? THUBUTU...! Hata kama anajiita chige but still yeye ni Mangu; baba wa familia na Mkuu wa Jeshi la Polisi!!!

Kwahiyo hilo la kutoka nje mara moja moja wala lisikupe shida; msisitizo uwe ni kwenye kutovuka mipaka!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…