Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, F. Mramba. Amteua Dkt. Mwinuka kukaimu

Maamuzi ya mihemuko mkuu, No reasoning, no consissors, ma hivyo alipanga kwenda kutoa neno Kanisani akapatia cha kusema ili ashangiliwe.

Siasa kwa asiye mwana siasa ili aonekane mwanasiasa mahiri.
Nilishangaa mijitu ya Kagera Kanisani inashangilia na kutelekezwa kote!
 
It was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.

God bless you Injinia
Ni swala lamuda tu alikua anmtafutia sababu tu kwani alianza kumlalamikia tangu wakati wa kampeni kua anamhuju lazma utapanda
 
There is no political game or what. Tatizo ni kukurupuka baadhi ya viongozi bado wanandoto za awamu zilizo pita kila mwenye madaraka anajiamulia anavyotaka haswa ktk masuala ya public consumption, bila hata kumshauri Waziri husika na haiwi chochote, that era was over !!!!! sasa wenye madaraka ktk taasisi za serikali watulize akili, nafikiri mmoja kati ya watendaji wa waziri wa nishati ni huyo mkurugenzi wa tanesco maombi au ushauri wa kupandisha gharama za umeme kwanza angemuandikia waziri wake na kujibiwa kimaandishi kukubali au kukataa na waziri kwa kua yeye ndiye mwenyedhamana na sekta hiyo ya umeme, hapo angekua ktk safe said juu ya maamuzi yake.
Kunatatizo moja la watanzania kutopima mambo na kukurupuka humu katk jf. mchango wa wengi wanamlaumu JP.na hilo linaonyesha uwezo wetu mdogo wa kufikiri,
EURA walipo tangaza kupandisha gharama za umeme waziri mwenyedhamana Muhongo alipinga hilo hiyo inaonyesha hakushirikishwa ktk maamuzi hayo, je unafikiria waziri alimuandikia nini Rais juu ya hilo kuhusu mtendaji mkuu wa shirika?
Kwakua waziri hana mandate ya kumuwajibisha mkurugenzi mtendaji. ila hutoa ushauri kwa rais

Sheria haiko hivyo!
Hata hivyo barua ya kuomba kupandisha bei ya umeme Tanasco walimcopy katibu mkuu wa Wizara, kama Wizara ingekuwa na objection wangeiraise hiyo kwenye vikao
 
Ivi jumapili nayo ni siku ya kazi ama,Magufuli kweli ni mtu wa kazi,kamtumbua mtu siku ya Jumapili ...............
 
It was staged na sarakasi nyingi na walijua tu watamfukuza. Umeme utapanda bei tuu, si tupo humu JF.

God bless you Injinia

argument ya msingi kuhusu kutenguliwa kwa Mramba ni kwamba hawakufuate procedure..
 
Naona kuna mabadiliko ya tune hivi sasa...

Tune ya sasa naona imekuwa "...hakufuata taratibu... hakuwashirikisha wale walio juu yake!"

Tune hii imeanza kusikika kwa Mwele Malecela!

Hebu nisaidie jambo moja! Hapa chini ni sehemu ya tangazo la EWURA juu ya nia ya TANESCO kupandisha bei ya umeme!
View attachment 453187

Tangazo ni la Octoba 04, 2016. Na kwa kumbukumbu zangu kupitia kipindi cha Kipima Joto ITV, hili suala lilijadiliwa na wadau! Hilo ni takwa kwa mujibu wa sheria za EWURA kama wanavyothibitisha wenyewe kwenye tangazo husika:

View attachment 453188

Now tell me: Unataka kuniambia wakato yote hayo yanafanyika wazi wazi bado serikali ilikuwa haifahamu nini kilikuwa kinaendelea? Kama ilikuwa haifahamu; kuna maana gani basi ya kuwa na serikali isiyofahamu hata kinachoendelea ndani ya taasisi zake?!

Au ni kwamba serikali ilikuwa inafahamu kilichokuwa kinaendelea lakini badala ya kuzuia from the beginning wakaamua kuacha kiendelee ili ipate justification za kutumbua?!

I am sorry to say kwamba Meneja bora hapimwi kutokana na uwezo wake wa kutimua wafanyakazi walio chini yake bali anapimwa kutokana na uwezo wake wa kuzuia crisis zinazoweza kusababisha kupoteza timu yake!

Ikiwa aina yenyewe ya uongozi ndio huu wa kuliana timing uharibu ili utumbuliwe basi nasikitika kusema kwamba for the time being, hii nchi ina uongozi mbovu ambao haujapata kutokea tangu tupate uhuru!

Huwezi kuacha watu wavunje sheria ili tu hatimae upate sababu ya kutumbua... this's totally administrative failure!

Kama hoja ni kwamba Mramba hakufuata taratibu; serikali walikuwa na uwezo wa kupiga stop kabla hata hao EWURA hawajapoteza raslimali kuitisha vikao!

Na kama ni kutumbuliwa; basi hao akina Mramba wangetumbuliwa baada ya serikali kupiga stop lakini wao wakaendelea! Tena wangetumbuliwa tangu mara baada ya kuitisha Mkutano ITV lakini inaonesha wazi serikali wasingekuwa na grounds za kufanya hivyo kwahiyo wakawaacha waendelee ili hatimae wapate cheap grounds zitakazo-sound kwa wananchi kwamba wamewatumbua kwa sababu wamepandisha bei ya umeme!!!

This's totally cheap politics!
Serekali inawasiliana kwa nyaraka...madokezo...paper trail sio kujitangazia tangazia
 
Umeme hautapanda kwasababu tunarudi kwenye "command economy" yaani a centrally planned economy! Ambapo bei zitapangwa na tume ya bei ya taifa kwa sababu tunatetea "wananchi wanyonge" walioumbwa kwa mfano wa Mungu!!
"Wananchi wanyonge, walioumbwa kwa mfano wa Mungu".
Wananchi ambao sio "wanyonge" wao wameumbwa kwa mfano wa nani?
Hivi "wanyonge" nchi hii ni nani? Wako wapi? Unyonge wao umesababishwa na nani/nini? Hivi ni kweli baada ya miaka 55 ya uhuru bado tuna Tanzania ya "wanyonge"walioumbwa kwa mfano wa Mungu?
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Kuchimba gesi is even more expensive kuliko ulivyoaminishwa na wanasiasa bila wewe kufikiri na kulinganisha mafuta na gesi. Huwezi maana unaambiwa cha kufikiri
Najua hilo ila niliona ujio wa gesi utaongeza uzalishaji wa umeme hivyo umeme wa maji ungeshuka kidogo badala yake wanapandisha
 
chige na richard.....
msitoke nje ya mada tafadhari....
Vitu vidogo sana hivi ndugu yangu! Inawezekana Richard ni baba wa familia tena mwenye madaraka kwenye serikali ya JPM!

Trust me, watu wa aina hiyo hawawezi kuvumilia criticism!! Na ni social factor kamwe huwezi kuwalaumu!

Sasa hebu pata picha Kamanda IGP Ernest Mangu anaingia JF kwa jina la chige... hivi unadhani atavumilia criticism? THUBUTU...! Hata kama anajiita chige but still yeye ni Mangu; baba wa familia na Mkuu wa Jeshi la Polisi!!!

Kwahiyo hilo la kutoka nje mara moja moja wala lisikupe shida; msisitizo uwe ni kwenye kutovuka mipaka!!!!
 
Back
Top Bottom