ramson masale
New Member
- Dec 22, 2016
- 3
- 0
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio waliopitisha PhD ya magumashiSasa hawa wahadhiri mbona wanaisha pale UDSM😵😵😵
Tusishangilie tu huu utumbuaji, je umewahi kujiuliza swali kuwa unafuata taratibu zake au mtu kajiamulia tu? maana mchakato wa kuongeza bei ya umeme ulianza mieza kadhaa iliyopita kwa nini hakuwekewa zulio?Safii sana , amtumbue na DG wa EWURA
Na wewe ni Pro nani?Kwa hiyo wewe ulitaka bei ya umeme ipande wananchi wazidi kuumia na nyie pro-Chadema mpate pakusemea?
Acheni ushabiki mandazi.
Kama kaonewa sababu alitaka kupandisha bei ya umeme na mzigo uendi kwa wananchi acha amuonee tuone kama Tanesco itakufa bila kupandisha bei ya umeme.
Ni kwa Kuwa Magufuli anavita na Chuki za Ukabila hakuna Lingine, Felichism Mramba Kosa lake nini? KUWA MCHAGGA AU KUTOKEA KASKAZINI? It is Sad to say but what I see, I see a Trend of Magufulification of CCM, and Sukumalizing Tanzania. Aje mtu hapa Abishe.
Huhitaji PhD ya umeme kuongoza shirika la umeme, you need strong management skills (strategic planning, corporate Management, nk) kuongoza makampuni kama hayo. Huendi pale kufunga umeme, unaenda pale kutengeneza direction ya kampuni for the next 5, 10, 20 years.Hawataisha wako wengi tu. Siku hizi PhD watu wengi tu wanazipata. Wengine wana PhD tatu au zaidi kwa mtu mmoja. Enzi za kuwapa watu madaraka makubwa ilihali kisomo chao ni duni kimepitwa na wakati. Haiingii akilini mtu ana kashahada kamoja tu ka umeme anapewa shirika kubwa la umeme kama la TANESCO wakati kuna mamia ya watu walio na ma PhD ya umeme? Hakuna cha godfather siku hizi. Godfather ni kisomo chako na hasa PhD yako. Tanzania ina bahati, kwa mara ya kwanza tumepata rais mwenye PhD (original siyo Hon.) tena ya sayansi, siyo sanaa.
Daaaaaah!......nchi ishaharibiwa sasa hapa.kazi ipoUlikuwa ukitafutiwa sababu ya kung'oka hapo Tanesco kwa muda mrefu hatimaee muda umewadia.
Ilikuwa inashangaza inakuajee Mtu wa kule mpaka sasa upo kwenye nafasi hiyo katika awamu hii?
Wenzio wote mnaotoka kule walishang'olewa kwenye nafasi zao, kilichokuwa kinakubebaa zaidi ni ufanisi wako na waziri kukuteteaa. Lkn Bado roho ya Mukulu haikusuuzika na alitafuta mbinu ya kila namna na hatimae imetimiaa.
Kipindi Tanesco wanaomba kupandisha bei ya umeme waziri na Mukulu walikuwepo nchini na walilisikia hili. Unajiuliza kwanini hawakuzuia kutokea kabla ya maombi au kipindi cha mchakato wa Maombi hayaa?
Kwanini iwe ni wewe tu na sio bosi wa EWURA? Hivi aliyepandisha bei ni Tanesco au EWURA?
Pole sana Mramba kwa mkasa huu. Ila bado tunahesabu muda, Muda utasema.
Sasa hawa wahadhiri mbona wanaisha pale UDSM😵😵😵
Sio mtu wa nyumbani!....Kiliochompoza Mramba pamoja na uchapa kazi wake ni kitu kimoja tu nacho ni...................
Kama sio wa nyumbani na upo serikalini jiandae kutumbuliwa muda wowote!...Ni balaaTatizo ni kabila lake.
WAPO WENGINE WANAOCHANGIA UMEME KUPANDA KWA SABABU FEDHA NYINGI YA SERIKALI INAIBWA TU. TUNAOMBA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA ZICHUNGUZE UBADHIRIFU NA WIZI ULIOFANYIKA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA. INAWEZEKANA WANAOHUSIKA HAWAFAHAMU CHUO HICHO NI CHA NANI. CHUO HICHO NI MALI YA SERIKALI 100%. CHOCHOTE CHA CHUO KIKIIBIWA NI MALI YA UMMA IMEIBIWA. VYOMBO VYA UCHUNGUZI VIFIKE KUFANYA UCHUNGUZI, KUNA MAMBO MAZITO KATIKA CHUO HICHO. WATENDAJI WENGI WA UMMA WAMESHATUMBULIWA MPAKA SASA, NI VIZURI KILA MWENYE MATATIZO ATUMBULIWE, MAANA HAKUNA NJIA NYINGINE KWAKWELI.
Ondoa povu mdomoniNi kwa Kuwa Magufuli anavita na Chuki za Ukabila hakuna Lingine, Felichism Mramba Kosa lake nini? KUWA MCHAGGA AU KUTOKEA KASKAZINI? It is Sad to say but what I see, I see a Trend of Magufulification of CCM, and Sukumalizing Tanzania. Aje mtu hapa Abishe.
Hizo kazi hua ni za mkataba na sio permanent and pensionable, mkqtaba ukiisha au ukisitishwa anatafta kazi nyingine. Kazi zote za ukurugenzi wa mashirika ya umma sio parmanent